ROBERTINHO AMKINGIA KIFUA NGOMA
Kocha wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ameweka heshima kwenye soka la Tanzani hadi sasa akiiongoza timu hiyo kwenye mechi 16 za Ligi Kuu Bara bila…
Kocha wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ameweka heshima kwenye soka la Tanzani hadi sasa akiiongoza timu hiyo kwenye mechi 16 za Ligi Kuu Bara bila…
Uongozi wa Klabu ya Simba SC, umeipongeza serikali chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa kufanya marekebisho ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa wakati…
Wakati Simba ikiendelea kujiandaa na mechi ya ufunguzi wa michuano mipya ya African Football League (AFL) dhidi ya Al Alhy ya Misri, ghafla imejikuta ikianguka…
Kama ambavyo ilikuwa msimu uliopita wa 2022/23, Wekundu wa Msimbazi wameendelea kuongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara kwa mara nyingine tena (2023/24) ndani ya mizunguko…
Wachezaji wa Simba Kibu Denis na Mzamiru Yassin wameonakena kwenye mazoezi ya kikosi cha timu ya Taifa Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachojiandaa kucheza mechi ya kirafiki…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema ana mpango wa kumtumia Kennedy Juma kwenye mechi za kimataifa kama mbadala wa Henock Inonga ambaye…
Simba imetangaza viingilio vya mchezo wao dhidi ya Al Ahly ya Misri wakisema kiingilio cha chini kuona mchezo huo kitakuwa ni sh 7,000 tu. Msemaji…
Kuelekea mchezo wa African Football League klabu ya Simba imesema timu hiyo itaingia kambini kesho Alhamisi Oktoba 12, 2023 kwa ajili ya kujiweka sawa kwa…
Makamu Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela amesema kama angekuwa kiongozi wa Simba SC basi tayari angekuwa amemtimu kocha wa Simba Robertinho…
Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula, amesema marais wa FIFA na CAF ni miongoni mwa watu mashuhuru watakaofika kushuhudia mchezo wao wa ufunguzi dhidi ya…