ISHU YA SIMBA KUACHANA NA ROBERTINHO, UONGOZI WAFUNGUKA HAYA
Klabu ya Simba imesema kuwa haijafikiria kuachana na kocha wake mkuu, Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo, ‘Robertinho’ raia wa Brazil kwani amefanya kazi nzuri na…
Klabu ya Simba imesema kuwa haijafikiria kuachana na kocha wake mkuu, Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo, ‘Robertinho’ raia wa Brazil kwani amefanya kazi nzuri na…
Simba SC na Young Africans siyo ishu tena kushinda ugenini katika michuano ya Kimataifa inayoratibiwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’, isipokuwa zimeshauriwa kuweka…
Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Aubin Kramo amerejea nyumbani kwao lvory Coast kwa ajili ya kujiuguza jeraha lake la goti ambalo limekuwa likimsumbua tangu atue…
Daktari wa Simba, Edwin Kagabo ameeleza kuridhishwa na maendeleo ya mlinda lango Aishi Manula anayetarajiwa kufanyiwa vipimo vya mwisho na pengine akaruhusiwa kujiunga na wenzake…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kutoka Wasafi Media, Nasir Khalfan amesema kuwa ndani ya kikosi cha Simba SC kuna tatizo ambalo limekuwa likisababisha timu…
Kikosi cha timu ya Simba kimerejea nchini jana Jumatatu, Septemba 18, 2023 wakitokea nchini zambia ambako walikwenda kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa…
Kikosi cha timu ya Simba kimerejea nchini jana Jumatatu, Septemba 18, 2023 wakitokea nchini zambia ambako walikwenda kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa…
Taarifa za ndani kutoka Simba zinaeleza kuwa Kibarua cha kocha wa Simba kipo mashakani hiyo ni baada ya Uongozi wa Simba kumpa mechi moja ya…
Tangu Golikipia namba moja wa Simba SC, Aishi Manula apate majeraha ambayo ndiyo yamemweka nje mpaka sasa, Simba imekuwa sio timu tena ya kuhakikisha inalilinda…
Kocha wa Simba, Robert Olveira ‘Robertinho’ amesema wanarudi na hesabu kali huku wakijipanga vizuri kwa kushinda watakapokuwa nyumbani mbele ya mashabiki wao, lakini kwanza wanatakiwa…