KRAMO SIMBA HAKUKALIKI AOMBA KUONDOKA
Wakati kikosi cha Simba SC kikiwa katika maandalizi ya mwisho ya mchezo wa kuwania kutinga Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya…
Wakati kikosi cha Simba SC kikiwa katika maandalizi ya mwisho ya mchezo wa kuwania kutinga Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya…
Kikosi cha Simba kimeondoka nchini asubuhi ya jana Alhamisi kwenda Zambia kwa ajili ya pambano la kwanza la raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa…
Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ambaye ni Kocha Mkuu wa Simba, mapema tu amezinasa mbinu za Power Dynamos ya Zambia jambo linaloashiria kwamba tayari amewamaliza wapinzani wake…
Uwanja wa michezo wa Levy Mwanawasa ni Uwanja wa michezo uliopo katika mji wa Ndola nchini Zambia, uwanja huu hutumika sana kwa ajili ya mchezo…
Mshambuliaji wa Klabu ya Simba, Moses Phiri amesema malengo yao ni kushinda mchezo wa Jumamosi dhidi ya Power Dynamos ya nyumbani kwao Zambia Phiri ambaye…
Kikosi cha wachezaji na Benchi la Ufundi la Simba Sc Wamewasili Salama nchini Zambia tayari Kwaajili ya Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika Mzunguko wa…
Simba SC leo Septemba 14, 2023 wamekwea ‘pipa’ kuelekea nchini Zambia kwa ajili ya kwenda kuanza rasmi safari yao kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika…
Shabiki wa Klabu ya Simba, Aggy Danny maarufu kama Aggy Simba, amesema kuwa wapinzani wao kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa frika, Power Dynamos ya…
Licha ya kuwahi kucheza na Power Dynamos ya Zambia na kupata matokeo mazuri, lakini Kocha mkuu wa Simba, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ anaendelea kuwafatilia kwa umakini…
Mchambuzi wa masuala ya soka Bongo, Amri Kiemba amesema kilichofanyika jana kwa Singida FG kuungana na mashabiki wa Yanga SC na Azam FC kwenye mashindano…