KRAMO AREJEA MSIMBAZI FULUMZUKA CHEKI BALAA LAKE
Kiungo mshambuliaji Aubin Kramo amerejea mazoezini baada ya kutoka kwenye majeraha ya goti aliyokuwa ameyepata mazoezini. Meneja wa habari na mawasiliano wa Simba SC, Ahmed…
Kiungo mshambuliaji Aubin Kramo amerejea mazoezini baada ya kutoka kwenye majeraha ya goti aliyokuwa ameyepata mazoezini. Meneja wa habari na mawasiliano wa Simba SC, Ahmed…
Ni rasmi Mnyama Simba SC anaanza kutupa tiketi yake ya kwanza kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya mabingwa wa Zambia Power Dynamos Septemba…
Mashabiki wa Simba SC kiroho safi wameomba Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania {TFF} ikiwezekana waufungie uwanja wa Azam Complex ili Yanga warudi kwenye uwanja…
Kikosi cha ASAS kimetimka nchini kurejea Djibouti wakiwa wameng’oka michuano ya CAF baada ya Yanga kuifumua jumla ya mabao 7-1, lakini beki mmoja wa zamani…
Baada ya Kikosi cha Simba SC kurudi kambini na kuanza mazoezi, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Oliveira Roberto ‘Robertinho’ amesema siku 30 za mapumziko zinahitaji…
Baada ya kutinga Raundi ya Kwanza ya mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuing’oa African Stars ya Namibia kwa faida ya bao la ugenini…
Droo ya African Football League (Super League) inatarajiwa kufanyika Septemba 2 huko Misri. Simba Sc ni miongoni mwa timu nane ambazo zitashiriki michuano hiyo maalum…
MSHAMBULIAJI wa Simba, Moses Phiri, amesema kwa mziki wa kikosi chao msimu huu, wamepanga kushinda mataji yote, huku wakianza na Ngao ya Jamii. Phiri ambaye…
Wakati ikijiandaa kuikabili Power Dynamos ya Zambia, katika mechi ya awali ya hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Barani Áfrika, Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’,…
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira, ndani yake inasukwa pacha ya viungo wa kazi, Luis Miquissone na Clatous Chama kwa ajili ya…