MENEJA WA YANGA NAE AJA NA HILI KWENYE MECHI YA SIMBA NA YANGA
Meneja wa Klabu ya Yanga, Walter Harson jana amezungumzia hali ya kikosi chao kuelekea maandalizi ya mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii utakaopigwa siku…
Meneja wa Klabu ya Yanga, Walter Harson jana amezungumzia hali ya kikosi chao kuelekea maandalizi ya mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii utakaopigwa siku…
Winga wa Yanga Jesus Moloko amemaliza adhabu ya kufungiwa mechi tatu na sasa yuko tayari kwa mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi raia Argentina ni kama amempotezea kocha wa wapinzani wake wa kubwa wa Ligi Kuu Bara Simba, Robert Oliveira ‘Robertinho’…
Baada ya kuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya fainali ya Ngao ya Jamii, kikosi cha Yanga kimeanza mazoezi kuelekea fainali. Dakika 90 Yanga ilikamilisha…
Uongozi wa Klabu ya Simba SC, umesema kwa sasa unaendelea kujiweka sawa ili kuiwezesha timu yao inafanya vizuri katika Michuano ya CAF Super League, itakayoanza…
Simba imefikia makubaliano ya kuinasa saini ya kipa, Ayoub Lakred (28) aliyekuwa akiichezea timu ya FAR Rabat ya Morocco inayofundishwa na kocha wa zamani wa…
Wakati Singida Fountain gate wakijiandaa kushuka Dimbani leo Jioni kumenyana dhidi ya Simba SC katika Uwanja wa Mkwakwani. Singida Fountain Gate itakosa huduma ya Wachezaji…
Uongozi wa Simba SC, umeibuka na kusema kuwa, hakuna kitakachowazuia wao kubeba makombe katika msimu wa 2023/24 kutokana na usajili kufanyika kitaalam. Hiyo ni katika…
Kwenye mchezo wao wa kwanza wa Ngao ya Jamii leo Agosti 10, 2023, Simba SC watawakosa nyota wao wawili, Clatous Chama pampoja na Sadio Kanoute.…
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema anataka kuona timu yake ikipata ushindi wa mabao mengi zaidi, huku akipanga kutengeneza muunganiko wa safu…