KUMBE MSIMBAZI WALIMNYAKUWA STAA HUYU, KABLA YA YANGA ISHU NZIMA IKO HIVI
UONGOZI wa Simba umefafanua mbinu ilizotumia kuinasa saini ya kiungo Fabrice Ngoma ambaye alikuwa anatajwa kuwa kwenye hesabu za watani zao wa jadi, Yanga. Nyota…
UONGOZI wa Simba umefafanua mbinu ilizotumia kuinasa saini ya kiungo Fabrice Ngoma ambaye alikuwa anatajwa kuwa kwenye hesabu za watani zao wa jadi, Yanga. Nyota…
HATIMAE ile safari ya Kibegi cha Simba imegotea kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro. Huu ni uzinduzi wa kwanza kwa Simba kufanya jambo hili kwa kuzindua…
NYOTA wawili walioivuruga rekodi ya Yanga kufikisha mechi 50 bila kufungwa ndani ya ligi bado wapo ndani ya Ihefu baada ya kuongezewa mkataba. Yanga ilicheza…
UONGOZI wa Simba umeibuka baada ya kukamilisha suala la kiungo wake Mzambia, Clatous Chama aliyegomea kambi ya nchini Uturuki kwa kutamka kuwa hawakuwa na hofu…
AISHI Manula, ‘Air Manula’ kipa namba moja wa Simba taratibu anazidi kurejea kwenye uimara wake baada ya kuwa kwenye mwendelezo wa matiabu ya afya yake.…
MTU tatu kwa mpigo zimetambulishwa ndani ya Simba rasmi baada ya kusaini dili jipya kuwa kwenye familia ya Msimbazi. Ni Julai 20 watatu wametangazwa kwa…
KLABU ya Simba imetangaza kukamilisha usajili wa Kiungo Abdallah Hamisi kwa kandarasi ya miaka miwili. Nyota huyo wa zamani wa timu za Muhoroni Youth Fc,…
MAISHA yanaenda kasi sana. Ebu fikiria kabla ya Juni 9 Ligi Kuu Bara ya msimu uliopita kufikia tamati, Jonas Mkude alikuwa staa wa Simba. Ndiye…
Mchezaji wa zamani wa CD Tenerife ya nchini Hispania, Shaban Chilunda SIMBA wamefikia makubaliano ya kumsajili mshambuliaji wa zamani wa CD Tenerife ya nchini Hispania,…
MLINZI mpya wa Klabu ya Simba Che Malone Fondoh amesema aliamua kujiunga na timu hiyo ili kuonesha daraja alilo nalo anapokuwa dimbani. Che Malone amesema…