IMBA AFUNGUKA HAYA JINI ZITAKAVYOBEBWA POINTI TATU MBELE YA WAARABU
IKIWA ni saa chache zimebaki kabla ya wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba kutupa kete ya tatu kusaka pointi tatu dhidi ya…
IKIWA ni saa chache zimebaki kabla ya wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba kutupa kete ya tatu kusaka pointi tatu dhidi ya…
MASTAA wa Simba wameapa kupigana kufa na kupona ili kuhakikisha timu yao inapata matokeo mazuri katika mchezo wao wa ugenini dhidi ya Wydad Casablanca ya…
Mashabiki wa Simba, wanasikilizia chama lao likishuka uwanjani usiku wa leo kwa mara ya pili chini ya kocha mkuu Abdelhak Benchikha ugenini dhidi ya Wydad…
Kocha Mkuu wa Wydad Casablanca, Adil Ramzi amesema kwa sasa huruma pekee watakayo ipata Kwa mashabiki wao ni kushinda Kila mchezo uliopo mbele yao. Wydad…
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi inaendelea kwa kuingia raundi ya tatu wikiendi hii, leo kukiwa na mechi tatu ikiwamo ya Yanga…
Benchi la Ufundi la Simba SC limekiri kuifuatilia Wydad Casablanca katika mchezo wao wa mwisho wa Ligi Kuu ya Morocco, na kubaini mazuri na mapungufu…
Wakati klabu ya Simba ikiendelea na maandalizi kabla ya kuivaa Wydad Casablanca kesho jijini Marrakech, Morocco huku beki wa timu ya Wydad, Arsene Zolla akionekana…
Shabiki maarufu wa Klabu ya Simba, anayefahamika kwa jina la Mchome amesema kuwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Clatous Chama kwa sasa hana msaada tena…
Mchambuzi wa soka Bongo George Ambangile amesema Simba SC imebadilika kutoka ile iliyokuwa inaruhusu sana magoli na kilichobaki ni kupachika magoli kwenye nyavu. Ambangile ametoa…
Kiungo mshambuliaji Clatous Chama anajadiliwa kwamba huwenda akaanza kwenye mchezo dhidi ya Wydad kutokana na kila alichokionesha kwenye mchezo dhidi ya Jwaneng Galaxy. Mchambuzi wa…