ROBERTINHO AWATETEA MASTAA SIMBA KISA USHINDI HUU
Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amewatetea wachezaji wake kwa kushinda mchezo dhidi ya Singida FG wakiwa na uchovu wa safari na mechi…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amewatetea wachezaji wake kwa kushinda mchezo dhidi ya Singida FG wakiwa na uchovu wa safari na mechi…
Wakati Singida Fountain gate wakijiandaa kushuka Dimbani leo Jioni kumenyana dhidi ya Simba SC katika Uwanja wa Mkwakwani. Singida Fountain Gate itakosa huduma ya Wachezaji…
Kwenye mchezo wao wa kwanza wa Ngao ya Jamii leo Agosti 10, 2023, Simba SC watawakosa nyota wao wawili, Clatous Chama pampoja na Sadio Kanoute.…
Kocha Mkuu wa Singida Fountain Gate, Hans Van Pluijm amesema ameridhishwa na kiwango cha wachezaji wake na sasa wapo tayari kuikabili Simba SC kwenye mchezo…
WAWAKILISHI wa Tanzania, Yanga na Simba kwenye Ligi ya Mabingwa na Singida Fountain Gate na Azam kwenye Kombe la Shirikisho Afrika wapo kwenye hekaheka za…
BOSI wa Singida Fountain Gate (SFG), Japhet Makau amesema usajili waBernard Morrison ni suala la muda tu na mashabiki wakae kwa kutulia kwani mambo mazuri…
UONGOZI wa Singida Fountain Gate umesema kuwa wanatamani kuwa na kiungo Mkongomani Yannick Bangala na Mghana Bernard Morrison kwa ajili ya msimu ujao huku ukipanga…
Kocha Mkuu wa Singida Fountain Gate, Hans Pluijm amesema ameanza kukisuka kikosi chake kuelekea mechi yao ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba SC utakaopigwa…
Klabu ya Singida Fountain Gate, imeweka wazi malengo yao kuelekea msimu ujao wa michuano yote watakayoshiriki msimu wa 2023/24, huku ikishindwa kukunjua makucha yao katika…
SIMBA juzi imemtangaza rasmi Che Fondoh Malone kuwa Mnyama ili kuchukua nafasi ya Mkenya Joash Onyango, huku awali ikielezwa kwamba ametolewa kwa mkopo kwa Singida…