Ukweli Uliojiri: Kocha Edna Lema Ametoa Kauli Hii Baada ya Kudaiwa Kujiuzulu Yanga Princess
Baada ya kuenea kwa kasi kwa taarifa zilizodai kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Princess, Edna Lema, amejiuzulu nafasi yake kufuatia kipigo cha mabao 3-0 dhidi…
Baada ya kuenea kwa kasi kwa taarifa zilizodai kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Princess, Edna Lema, amejiuzulu nafasi yake kufuatia kipigo cha mabao 3-0 dhidi…
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Wananchi baada ya Yanga Princess kupoteza tena fursa ya kutwaa taji ililokuwa inalisaka kwa mara ya kwanza tangu ilipoanza kushiriki…
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amemwaga cheche baada ya Simba Queens kuendeleza ubabe na kuiondoa Yanga Princess kwenye…
Simba Queens itakutana na JKT Queens kwenye fainali ya Ngao ya Jamii Wanawake Oktoba 3, huku Yanga Princess na Mashujaa Queens zikisaka nafasi ya tatu.
Simba Queens imeichapa Yanga Princess mabao 3-0 katika nusu fainali ya Ngao ya Jamii Wanawake, ushindi unaotuma ujumbe mzito kabla ya kuanza kwa WPL na…
Beki mahiri wa Mashujaa Queens, Mariam Yusuph Juma (33), anaendelea kuonyesha mfano wa kuigwa uwanjani na nje ya uwanja. Beki huyu ametenganisha kwa mafanikio makubwa…
Pazia la msimu mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara (WPL) linafunguliwa rasmi leo, Septemba 30, kwenye Uwanja wa KMC, Mwenge jijini Dar es…