Tag: soka
SIMBA YA ROBERTINHO NI HATARI KILA NAFASI NI BAO
Kocha Mkuu wa Simba SC Mbrazili Roberto Oliviera Robertinho ameamua kila faulo itakayopatikana kwa timu yake nje ya 18, inapaswa kuwa bao kwa zaidi...
GAMONDI APEWA MAAGIZO HAYA KUHUSU AL MAREKH YA SUDAN
UONGOZI wa Yanga ni kama umempa maagizo mazito kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamond baada ya kusema kwa kuwa msimu uliopita walifika fainali...
YANGA NJIA NYEUPE, HII NDIO HALI YA AL MARREIKH
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kutoka East Africa Radio, Master Tindwa amesema kuwa wapinzani wa Yanga SC kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa...
KUMBE MAXI ALITAKIWA KUTUA SIMBA NA SIO YANGA….. ISHU IKO HIVI
Kwa mujibu wa Mzee wa Jambia Wilson Oruma ni kwamba Simba SC ndio ilipaswa kuwa ya kwanza kumsajili Maxi Nzengeli lakini viongozi wakasitisha mchakato...
MAXI NZEGELI YAMKUTA YA MAYELE YANGA
Mchambuzi mbobezi wa michezo kutoka EFM, Jemedari Said Kazumari amesema kuwa kiungo wa Klabu ya Yanga, Max Mpia Nzengeli yupo Yanga kwa mkopo akitokea...
SIMBA WAWACHARUKIA YANGA KISA HIKI HAPA
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema watani wao Yanga SC, wamemuiga kwa kuanzisha utaratibu wa kusafirisha mashabiki kwa njia...
KUHUSU YANGA KUJAZA UWANJA RWANDA, WACHAMBUZI WASEMA HAYA
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kutoka East Africa radio, Samwel Rashid mwenyewe anajiita Wakanda Republic amesema kuwa Klabu ya yanga wanao uwezo wa...
MAXI AMTAJA MAYELE KWENYE KIKSOSI CHA YANGA TAMAA YAKE IKO HIVI
Kiungo wa Yanga, Maxi Mpia Nzengeli ameweka wazi kutamani kucheza na Fiston Mayele katika kikosi cha Yanga tofauti na alivyoondoka.
Maxi Nzengeli wakati anasajiliwa Yanga...
GAMONDI CAF MAAMUZI HAYA MBONA FRESH
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Gamondi amesema kuwa amefurahishwa na hatua ya mchezo wao wa Raundi ya kwanza wa Ligi ya Mabingwa Barani...
“WANACHAMA LIPENI ADA TUMALIZE MADENI” – YANGA
Baada ya moja ya Mashabiki wa Yanga SC kuhoji kuhusu kesi za madai pamoja na kufungiwa na FIFA kufanya usajili ambazo zimekuwa zikiiandama klabu...