Tag: usajili
INJINI HERSI: USAJILI UMEKAMILIKA YANGA…KUANZA KUTAMBULISHWA
Wakati uongozi wa klabu ya Yanga ukijiandaa kumuongezea mkataba kiungo mshambuliaji wake Pacome Zouzoua, umetangaza kukamilisha na kufunga usajili wake msimu huu na sasa...
NDOA YA DUBE NA AZAM IMEKWISHA…HUENDA AKATAMBULISHWA KESHO YANGA
Ni suala la muda tu, Prince Dube 'Mwana wa Mfalme' atatambulishwa kuwa mchezaji wa Yanga baada ya kuachana na Azam FC.
Azam FC walimkabidhi Dube...
AHMED ALLY ATANGAZA VITA…SIMBA IMEKAMILISHA USAJILI.
Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amewatoa hofu wapenzi na wanachama wa klabu hiyo kuwa michakato ya usajili inaendelea na...
KANOUTE AZIDI KUSHIKILIA MSIMAMO…SIMBA KUFANYA KIKAO KIZITO
SADIO KANOUTE Ameendelea kushikilia msimamo wake wa kutaka kuondoka Simba ili akatafute changamoto mpya, ambapo bado ana mkataba wa mwaka mmoja na waajiri wake...
MRITHI WA INONGA HUYU HAPA…ATUA DAR USIKU KUMALIZANA NA SIMBA
MENEJIMENTI ya Mrithi wa Henock Inonga imetua Dar kumalizana na Simba muda wowote kuanzia sasa, wakati huo wachezaji wa Simba wakitarajiwa kuanza kuingia kambini...
HABARI ZA USAJILI…SIMBA YATUA KWA MSHAMBULIAJI WA STELLA ADJAME…YANGA NA OKRAH
MABOSI wa Simba wako katika mazungumzo ya kuipata saini ya kiungo mshambuliaji raia wa Ivory Coast, Jean Charles Ohoua. Nyota huyo anayekipiga Stella Adjame...
MWAMNYETO MZAWA ANAYEVUTA MPUNGA MREFU YANGA…MIL 300
NAHODHA na beki wa kati wa Yanga, Bakari Mwamnyeto ameongeza mkataba mwingine wa miaka miwili wa kuendelea kubakia hapo na mkataba huo Umefanya kuwa...
LOMALISA APEWA THANK YOU YANGA…AMFUATA ZAHERA
BAADA ya kuitumikia Yanga kwa misimu miwili kwa mafanikio sasa anatajwa kumalizana na Namungo FC kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho ambacho...
DAU WALILOTUMIA SIMBA KUMNASA STEVE MUKWALA.
Klabu ya Simba imetumia zaidi ya Sh300 milioni kupata saini ya straika Mganda, Steven Dese Mukwala (24) ambaye alikuwa akiwaniwa na klabu mbalimbali ikiwemo...
SIMBA KUSHUSHA CHUMA…ANATOKA CONGO…NI MWAMBA HASWA
Klabu ya Simba inatajwa kukamilisha usajili wa kiungo kutoka Jamhuri ya Congo Debora Mavambo Fernandes (mwenye jezi nyeupe pichani juu) aliyekuwa aakiitumikia Mutondo Stars...