Tag: YANGA
KUMBE KWENYE KUNDI ZIMA YANGA NDIO KIBONDE
Mchambuzi nguli wa masuala ya Soka Alex Ngereza kutoka TV3 amesema kuwa Klabu ya Yanga ndiyo wanaonekana vibonde kwenye kundi lao la michuano ya...
MABOSI YANGA WATUMIA JEURI YA PESA KUIANGUSHA AL AHLY
Kamati ya Mashindano ya Klabu ya Young Africans imeweka mpango mkakati wa kuipeleka klabu hiyo Hatua ya Robo Fainali, Ligi ya Mabingwa Barani Afrika,...
YANGA ISIWACHUKULIE POA AL AHLY
Wale Al Ahly hawajaisha kihiiivyo kama ambavyo watu hapa kwetu wanaaminishana wakati huu ambao mechi yao dhidi ya Yanga inakaribia kupigwa kesho Kwa Mkapa.
Tatizo...
GAMONDI ALIAMSHA AKATAA UTARATIBU HUU WA VIONGOZI WA YANGA
Kocha Mkuu wa Yanga Sc, Miguel Gamondi amepinga utaratibu wa uongozi wa Klabu ya Yanga kuzipa majina ya wachezaji wao, mechi zao za nyumbani...
AL AHLY WAIPIGA MKWARA MZITO YANGA,GAMONDI APEWA TAMKO HILI
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Barani Afrika Al Ahly Marcel Koller ameliambia amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa kesho Jumamosi (Desemba...
BAADA YA YANGA KUPOTEZA MCHEZO WA KWANZA,GAMONDI ASEMA HAYA KUELEKEA MCHEZO...
Kocha Mkuu wa Yanga SC, Miguel Gamondi amesema makosa waliyoyafanya dhidi ya CR Beloizdad hawatayarudia katika mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly.
Yanga wanashuka...
AL AHLY WASHIKILIA HESHIMA YA YANGA…. UONGOZI WAFUNGUKA HAYA
Klabu ya Yanga imesema mechi ya Jumamosi dhidi ya Al Ahly imeshikilia heshima yao kwani kama ikiibuka na ushindi itapata sifa kubwa barani Afrika...
YANGA KWENYE KIBARUA KIGUMU
YANGA kesho ina kibarua kigumu kwenye mchezo wa pili wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri...
KAMA UTANI VILE HERSI ALAMBA SHAVU ACA
RAIS wa Yanga, Hersi Ally Said ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa kwanza wa Chama cha Klabu za Soka Afrika katika mkutano uliofanyika ukumbi wa Marriot...
AL AHLY WATUA NCHINI KUIKABILI YANGA, WAPOKELEWA NA HAPPY NATION
MABINGWA wa Afrika, Al Ahly wamewasili Dar es Salaam usiku wa Alhamisi na kupokewa na basi la Kampuni ya Happy Nation Express ambao hutoa...