SOKA LA GAMONDI LAWAIBUA MABOSI YANGA, ISHU IKO HIVI
MABOSI wa Yanga wameumizwa na kitu kimoja tu juzi, kupoteza taji la Ngao ya Jamii ambalo walilishikilia kwa misimu miwili, lakini kuna kauli ya mamlaka…
MABOSI wa Yanga wameumizwa na kitu kimoja tu juzi, kupoteza taji la Ngao ya Jamii ambalo walilishikilia kwa misimu miwili, lakini kuna kauli ya mamlaka…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Supastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amesema kuwa hana mpango wa kuihama klabu yake ya Yanga licha ya kupoteza mchezo wa Ngao ya jamii dhidi…
Uongozi wa Young Africans, umebainisha kuwa, timu yao itarejea ikiwa imara, huku wakihamishia nguvu kwenye mashindano mengine ikiwa ni Ligi Kuu Bara, Kombe la Azam…
Kocha Mkuu wa Azam FC Youssouf Dabo ameondolewa kwenye orodha ya Makocha watakaokaa kwenye Mabenchi ya Ufundi wakati wa Michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara…
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi, Salum Umande Chama, amevunja ukimya kutokana na utata uliojitokeza baada ya mchezo wa Ngao ya Jami, kati ya Young…
Klabu ya Yanga SC imekiri kwamba ina historia mbaya kwenye michuano ya Kimataifa kwani ina zaidi ya miaka 20 haijawahi kufika hatua ya Makundi ya…
KOCHA wa Mashujaa, Mohamed Abdallah ‘Baresi’ amesema kwa namna mashabiki wa Kigoma walivyo na hamu ya kuziona timu kama Simba, Yanga, Azam FC na nyingine…
Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars na Mchambuzi wa michezo kupitia kituo cha Clouds Media Amri Kiemba amewataka Mashabiki na…
Licha ya kupoteza mchezo wa ngao ya jamii kocha mkuu wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi amesema amefurahishwa na kiwango walichokionyesha vijana wake. Licha ya…