Habari za michezo
GAMONDI AIPA TANO SIMBA, BAADA YA KIPIGO
Staff Desk
August 14, 2023
3:22 pm
Licha ya kupoteza mchezo wa ngao ya jamii kocha mkuu wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi amesema amefurahishwa na kiwango walichokionyesha vijana wake.
Licha ya kupoteza mchezo wa ngao ya jamii kocha mkuu wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi amesema amefurahishwa na kiwango walichokionyesha vijana wake. Gamond amewasifia pia wapinzani wao kwa kusema kuwa Simba ni timu kubwa na inawachezaji wazuri ambao waliwapa changamoto kubwa uwanjani.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.