Habari za Michezo
Habari za michezo

YANGA KINYONGE WAIACHA NGAO YA JAMII NYUMA

Staff Desk August 14, 2023 3:19 pm

Yanga SC imeanza safari kurejea jijini Dar es Salaam ikitokea Tanga kujiandaa na mechi zinazofuata wakianza na KMC Ligi Kuu Agosti 23 katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

Yanga ilishuhudia rekodi yake ya kutwaa Ngao ya Jamii mara mbili mfululizo (2021-22) ikikomeshwa na Simba SC kufuatia kipigo cha penalti 3-1 baada ya dakika 90 za mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii 2023 kumalizika bila mshindi kupatikana.

Yanga sasa wanarejea Dar kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASAS FC ya Djibouti utakaopigwa utakaopigwa Agosti 8, 2023 katika Dimba la Mkapa.

MASTAA HAWA WAANZA KAZI RASMI YANGA GAMONDI AIPA TANO SIMBA, BAADA YA KIPIGO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply