YANGA ACHENI KUMKOMOA FEI TOTO…VAENI VAZI LA UZAZI…MWACHENI AONDOKE
Yanga ni kubwa kuliko Fei, Yanga inafanya vizuri bila Fei., Yanga ipo robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika bila Fei, Yanga ilikuwepo kabla ya Fei,…
Yanga ni kubwa kuliko Fei, Yanga inafanya vizuri bila Fei., Yanga ipo robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika bila Fei, Yanga ilikuwepo kabla ya Fei,…
Kocha wa Yanga, Nasridenne Mohammed Nabi ameshtushwa na kukuoshwa na Kazi ya maana anayoifanya kitasa chipukizi Ibrahim Abdullah “BACCA” Nabi alisema Bacca ameonyesha uimara mkubwa…
Stephane Aziz Ki amefunga mabao 4 katika Nbc Premier League tangu ulipoanza mwaka 2023, ni wachezaji wawili pekee waliofunga mabao mengi kuliko yeye kuanzia kipindi…
Kiungo Mrundi wa Simba SC, Saido Ntibanzokiza ndiye mchezaji aliyehusika kwenye mabao mengi zaidi katika msimu huu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara hadi sasa.…
Klabu ya Yanga imemtaka mchezaji wao, Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ kuacha ujeuri na kuitunishia misuli klabu yake hiyo badala yake afuate taratibu ikiwemo kwenda…
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amewataka wachezaji wa timu hiyo kuhakikisha wanapata matokeo katika mchezo wao ujao dhidi ya Simba kwa lengo kuweza kusogelea…
Kipa wa Orlando Pirates Richard Ofori amewapa tahadhari Wydad Casablanca na kuwaambia wawe makini wanapotua kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. Wydad ambao…
Kiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ leo Aprili 12 alifika mbele ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji kujua hatma ya barua yake…
Taarifa zisizothibitishwa zimeenea mitandaoni kuhusu Mchambuzi wa masuala ya michezo nchini kutoka Kituo cha televisheni cha Channel Ten, Juma Ayo kuwa alimuomba pesa Rais wa…
YANGA inaendelea kupasua anga lakini wakati mashabiki wao wakichekelea mafanikio ya ukuta wao ulioruhusu mabao machache pekee kuna vita mpya imeanzishwa kwenye ukuta wao wa…