MORISSON AGONGELEA MSUMALI WA MOTO YANGA…AZIZ KI AWAJIBU KIROHO MBAYA
Wananchi Yanga SC wameendelea kujikita kileleni baada ya kuwachapa Kagera Sugar bao 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo huo ambao Yanga walianza…
Wananchi Yanga SC wameendelea kujikita kileleni baada ya kuwachapa Kagera Sugar bao 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo huo ambao Yanga walianza…
BAADA ya kupata nafasi ya kucheza mara mbili na mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize, nahodha wa zamani wa timu hiyo anayekipiga kwa sasa Geita Gold,…
WAKATI homa ya pambano la watani wa jadi ikianza kupanda kabla ya timu hizo kuvaana Jumapili ya wiki hii, SOKA LA BONGO limenasa faili ya…
Kumeibuka mjadala kwenye mitandao ya kijamii huku baadhi ya wachambuzi na mashabiki wa soka wakidai kuwa kiwango cha kiungo mshambuliaji wa Yanga, raia wa Burkina…
Yanga kwa sasa iko kwenye ubora kila eneo ikiwa imeimarika zaidi na hata mastaa wao wapo moto, lakini hilo halijawapa presha wachezaji wa Kagera Sugar…
Chama cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Songwe (SODIFA) kimetangaza kifo cha mchezaji wa timu ya Saza FC, Albat Andrea aliyefariki baada ya kugongana na…
Straika Jean Baleke, kocha mkuu wa Simba, Roberto Oliveria ‘Robertinho’ na Meneja wa uwanja wa Highland Estate, Malule Omary wamekabidhiwa tuzo zao za mwezi Machi…
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa Simba na Yanga kwa pamoja zikashiriki mashindano ya Africa Super League…
Klabu ya Rivers United wameomba mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Yanga upigwe katika uwanja wao wa…
HUENDA hujui, ila ukweli ni kwamba hata kabla Ligi Kuu Bara haijafikia tamati, tayari timu za kumaliza kwenye nafasi Nne Bora kwa msimu huu zimeshafahamika…