MECHI YA SIMBA NA YANGA MCHEZAJI AFARIKI UWANJANI...TUKIO HILI LINASIKITISHA SANA!
Habari za michezo

MECHI YA SIMBA NA YANGA MCHEZAJI AFARIKI UWANJANI…TUKIO HILI LINASIKITISHA SANA!

Marce Ben Komba April 11, 2023 2:20 pm

Chama cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Songwe (SODIFA) kimetangaza kifo cha mchezaji wa timu ya Saza FC, Albat Andrea aliyefariki baada ya kugongana na mwenzake katika kuwania mpira.

Tukio hilo limetokea katika mchezo wa kirafiki kati ya mashabiki wa Yanga na Simba wakichuana katika kusheherekea Sikukuu ya Pasaka.

Andrea aliyekuwa anacheza nafasi ya kiungo alifariki dunia njiani wakati anakimbizwa hospitali kupatiwa matibabu.

Ofisa Habari Chama cha Soka Mkoa wa Songwe (SOREFA), Charles Mwamlima, amethibitisha taarifa hiyo huku ikielezwa taratibu za kusafirishwa mwili wa marehemu kuelekea Geita zinafanyika.

MFALME MPYA WA MERIDIANBET HUYU HAPA….JAMAA KAWEKA ELFU 20 KAVUNA MIL 26 KIULAINII KABISA… “TUTAKULA SAHANI MOJA NA VIUNGO WA YANGA”…WANANCHI WAPIGWA MKWARA HUU MZITO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply