RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO HII HAPA
LEO Novemba Mosi Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa mechi mbili ambapo timu nne zitakuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu namna hii:-Kagera Sugar ambayo...
SIMBA SC YATIMUA WAPISHI WAWILI
MEELEZWA kuwa Klabu ya Simba imewaondoa wapishi wao wawili ambao walikuwa wakihusika katika kuwapikia chakula wachezaji wa timu hiyo. Hivi karibuni Simba imewashtua mashabiki wao...
AZAM FC: TUPO IMARA, TUNA JAMBO LETU
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa upo vizuri kwa msimu wa 2020/21 na utafanya mambo tofauti na msimu uliopita ndani ya ligi kuu bara...
MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO HIVI
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara upo namna hii kwa sasa
CHAMA KARUDI NA USHINDI WAKATI SIMBA IKIPIGA MTU 5G UHURU
LABDA unaweza kusema kwamba Simba bila Clatous Chama mambo yanaweza kuwa magumu ila mpira ndio matokeo yalivyo ndani ya uwanja.Baada ya kucheza mechi mbili...
BIASHARA UNITED YATULIZWA JUMLAJUMLA NA YANGA, SARPONG AMALIZA MCHEZO
MICHAEL Sarpong nyota wa kikosi cha Yanga leo ameibuka shujaa baada ya kufunga bao la ushindi mbele ya Biashara United na kuipa pointi tatu...
KAZE ATAFUTA REKODI MPYA LEO YANGA
LEO Jumamosi, Kocha Mkuu wa Yanga anatarajiwa kuandika historia mpya wakati timu hiyo ikijiandaa kuwavaa Biashara United ya mkoani Mara katika mchezo wa raundi...
KAZE AIBUKA NA MBINU MPYA YANGA
KOCHA wa Yanga, Cedric Kaze hana kazi ya kitoto katika kikosi hicho kutokana na kuibuka na mfumo aliojiwekea wa kuhakikisha anamfanyia tathimini mchezaji mmoja...
KIKOSI CHA SIMBA VS MWADUI LEO UWANJA WA UHURU
SIMBA VS MWADUI: Hapa ndimba la Uhuru Dar es Salaam, hakuna konakona, mambo ni shwari kuelekea mchezo wa kati ya mabingwa watetezi, Simba SC...