MATOKEO YA MECHI ZA JANA

0
 MATOKEO YA SOKA JANA JUMANNE 20.10.2020UEFA Champions League FT Chelsea 0 - 0 Sevilla FT Rennes 1 - 1 FC KrasnodarFT Zenit St. Petersburg 1 -...

KOCHA MANCHESTER UNITED: TULISTAHILI USHINDI

0
OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa walistahili ushindi usiku wa kuamkia leo mbele ya PSG kwenye mchezo wa Ligi ya...

MUZIKI WA TANZANIA PRISONS WAIPA PRESHA SIMBA

0
 UONGOZI wa Simba umesema kuwa mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons kesho sio mwepesi kutokana na uimara wa wapinzani wao hao ambao kwa sasa...

YANGA YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA POLISI TANZANIA

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa kesh, Oktoba 22, Uwanja wa Uhuru dhidi ya...

AMRI SAID WA MBEYA CITY AFUTWA KAZI

0
 AMRI Said, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Mbeya City amefutwa kazi Oktoba 20 kutokana na timu kutokuwa na mwendo mzuri msimu wa 2020/21.Kwa sasa timu...

MSIMAMO WA LIGI KUU BARA UPO NAMNA HII

0
 MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara upo namna hii 

YANGA YATUA KWA KIUNGO WA KAIZER CHIEFS

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano 

SIMBA; KUTOLEWA MAPEMA LIGI YA MABINGWA NI SOMO KWETU

0
 CLATOUS Chama, kiungo wa Klabu ya Simba raia wa Zambia amesema kuwa kuondolewa kwa timu hiyo msimu uliopita kwenye michuano ya kimataifa ni somo...

PRINCE DUBE AIPOTEZEA TUZO YA MEDDIE KAGERE

0
 PRINCE Dube, kinara wa utupiaji ndani ya Ligi Kuu Bara amesema kuwa kwa sasa hana hesabu na tuzo ya kiatu cha ufungaji bora kwa...

NYOTA SABA KUKOSEKANA KESHO TANZANIA PRISONS V SIMBA

0
KLABU ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji pamoja na mzawa Seleman Matola ambaye ni kocha msaidizi kesho, Oktoba 22...