LIVERPOOL YAAMBIWA KUWA ITAKUWA NGUMU KUTETEA UBINGWA

0
LEGENDI, Jamie Carragher anaamini kwamba Klabu yake ya zamani ya Liverpool itapata tabu kubwa kutetea taji la ubingwa wa Ligi Kuu England bila uwepo wa...

NAMUNGO FC: TATIZO LIPO KWENYE MAANDALIZI

0
 HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Klabu ya Namungo FC amesema kuwa tatizo linaloisumbua timu hiyo kwa sasa ni kushindwa kupata maandalizi mazuri mwanzoni mwa...

NYOTA WATATU WA SIMBA KUIKOSA TANZANIA PRISONS

0
NYOTA watatu wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji akiwa na msaidizi mzawa, Seleman Matola wanatarajiwa kuukosa mchezo...

NYOTA WAWILI WA YANGA KUUKOSA MCHEZO WA POLISI TANZANIA

0
NYOTA wawili wa Yanga wanatarajiwa kuukosa jumla mchezo wa kwanza kwa Kocha Mkuu, Cedric Kaze kutokana na kutokuwa fiti kiafya.  Ally Makame nyota wa Klabu...

RATIBA YA LEO OKTOBA 20 NDANI YA LIGI KUU BARA

0
 LEO Oktoba 20 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kutimua vumbi ambapo kutakuwa na timu nane ambazo zitashuka kwenye viwanja vinne tofauti kusaka pointi tatu...

TFF YATAJA MAFANIKIO YAKE KWA MUDA WA MIAKA MINNE

0
 RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, amesema upatikanaji wa viwanja kwa ajili ya kukuza soka vilivyopo Kigamboni jijini Dar na mkoani...

KUMBE MESSI ALIGOMEA ISHU YAKE YA KUIBUKIA REAL MADRID

0
 LIONEL Messi amekuwa ni nembo ya Klabu ya Barcelona kwa muda mrefu tangu kuondoka kwa Ronaldinho mwaka 2008, lakini kumbe wapinzani wao wa jadi,...

MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII

0
 MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa upo namna hii

SIMBA YAPIGA MATIZI LEO UWANJA WA SOKOINE, MBEYA

0
 KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck akisaidina na Kocha Msaidizi Seleman Matola baada ya kuwasili Mbeya leo Oktoba 19 kimefanya mazoezi...

YANGA YAIVUTIA KASI POLISI TANZANIA

0
 KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze leo Oktoba 19 kimeendelea kujiweka sawa kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara...