NYOTA WATATU WA YANGA KUIKOSA BIASHARA UNITED
NYOTA watatu wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze huenda wakaukosa mchezo dhidi ya Biashara United unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 31.Yanga ina...
MWENDO WA FRANCIS BARAZA NDANI YA BIASHARA UNITED
FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Biashara United ndani ya msimu wa 2020/21 amekuwa ni miongoni mwa makocha ambao wameanza mwendo wa kusaka matokeo vizuri...
ISHU YA RAIS WA BARCELONA KUBWAGA MANYANGA, MESSI ATAJWA
KLABU ya Barcelona imetangaza rasmi aliyekuwa Rais wao, Josep Maria Bartomeu, amejiuzulu nafasi hiyo pamoja na bodi yote ya wakurugenzi. Bartomeu, 57, amekuwa Rais wa...
ABDI BANDA YUPO ZAKE BONGO, TIMU YAKE YAUZWA
BEKI wa zamani wa Simba ambaye anakipiga ndani ya Highland Parks FC ya nchini Afrika Kusini, Abdi Banda amerejea nchini kwa mapumziko mafupi baada...
OKTOBA INA MENGI KINOMA, SIMBA YALAMBISHWA SHUBIRI
NI hesabu za vidole tu ambazo unaweza kuzifanya wakati ambao unataka kuubadilisha mwezi Oktoba kwenda ule unaofuata wa Novemba. Huu ni mwezi wapili wa...
KAZE WA YANGA AACHWE AFANYE KAZI KWA SASA
KLABU ya Yanga kwa sasa ipo chini ya kocha mpya, Cedric Kaze ambaye tayari amesimamia mechi mbili za ligi na kushinda zote dhidi ya...
NAHODHA WA SIMBA BOCCO AOKOLEWA KUPIGWA MAWE NA POLISI KUTOKA KWA MASHABIKI
KATIKA hali ya kushangaza mshambuliaji wa Simba, John Bocco, juzi alinusurika kupigwa na mawe na mashabiki wa timu hiyo kufuatia kitendo cha kukosa penalti...
KLOPP HAELEWI CHA KUFANYA KUHUSU NAFASI YA ULINZI
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool kwa sasa yupo kwenye wakati mgumu kuhusu uimara wa safu yake ya ulinzi baada ya beki wake mwingine...
MAMBO MAZITO BAADA YA LIGWARIDE SIMBA,WANNE WAFUTWA KAZI
IMEELEZWA kuwa Klabu ya Simba imewafuta kazi Mwarami Mohamed (Kocha wa magoli kipa) na Patrick Rweyemamu (Meneja wa timu ) kutokana na matokeo mabaya...
CIOABA WA AZAM FC NA SVEN WA SIMBA WANYOOSHWA NA WAZAWA
TARATIBU mbinu za wazungu zinaanza kufeli mbele ya wazawa ambao wanazinoa timu zao kwa kubeba pointi tatu mbele ya makocha wakigeni.Oktoba 22, Tanzania Prisons...