MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

0
 MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Spoti XTRA Jumapili 

RATIBA YA FAINALI YA LIGI YA KUKAPU TANZANIA LEO HII HAPA

0
 *FINALS- NBL* *FIXTURES**25.05.2020*INDOOR COURT πŸ‘‡πŸΏ10:00 hrs πŸ‘‡πŸΏVijana Queens       V Jeshi Stars*THIRD PLACE*πŸ‘‡πŸΏ12:00 hrsDon Panthers           V Vijana14:00 Jkt Stars  V DB...

MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII

0
 MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara kwa sasa upo namna hii baada ya mechi nyingine kuchezwa jana Oktoba 24

AJAX YAPIGA MTU BAO 13-0

0
 KLABU ya Ajax imeibuka na ushindi wa mabao 13-0  kwenye mchezo wa Ligi ya Uholanzi maarufu kama Eredivise leo Oktoba 24 kwenye mchezo uliochezwa...

YANGA YAIPIGIA MATIZI YA MWISHO KMC LEO

0
 KIKOSI cha Yanga leo Oktoba 24 kimefanya maandalizi ya mwisho kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa kesho Oktoba 25 dhidi...

BARCELONA YACHAPWA 3-1 NA REAL MADRID, ANSU ATUPIA

0
 ANSU Fanti kinda mwenye miaka 17 anayekipiga ndani ya Barcelona leo amepachika bao kwenye El Clasico kwenye mchezo wa La Liga wakati wakilala kwa...

MBEYA CITY YASHINDA KWA MARA YA KWANZA VPL LEO

0
 TIMU ya Mbeya City leo Oktoba 24 imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Klabu ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu...

AZAM FC YAZIPIGA MKWARA SIMBA NA YANGA

0
 AZAM FC imetamba kuendeleza dozi kwa timu kongwe za Simba na Yanga kwa kusema kila mechi wanayocheza kwao ni fainali na kudai kuwa siri...

YANGA WAPEWA ONYO MAPEMA KABISA BAADA YA KUSHINDA

0
 KOCHA wa Klabu ya KMC, Habibu Kondo, amewatahadharisha Yanga kutokwenda na matokeo kichwani katika mechi dhidi yao itakayochezwa Jumapili ya tarehe 25 /10/2020 jijini...

HIMID MAO KAZI INAENDELEA,KILA KITU KINAWEZEKANA

0
 HIMID Mao mzawa anayekipiga ndani ya Klabu ya ENPPI ya Misri amesema kuwa kwa namna soka la Tanzania linavyokuwa kwa kasi ni rahisi kwa...