MUGALU ATENGEWA DAKIKA 180 NDANI YA SIMBA

0
 NYOTA wa Simba mwenye zali la kutupia kwenye kila mechi ndani ya Ligi Kuu Bara, Chris Mugalu ametengewa dakika 180 za kujiweka sawa kabla...

KOCHA MPYA YANGA AMEANZA KAZI

0
 IMEELEZWA kuwa, Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze raia wa Burundi, tayari ameanza kazi ya kukinoa kikosi hicho kwa kutuma programu zake kwa kocha...

REDODO BADO WAMO VPL

0
 KIUNGO Ramadhan Chombo,' Redodo' anayecheza ndani ya Biashara United bado amekuwa kwenye ubra wake akiwa ndani ya uwanja kwa kucheza timu na kutengeneza mipango...

NEMBO MPYA YA FOUNTAIN GATE

0
 KIKOSI cha Fountain Gate FC ya jijini Dodoma, imezindua nembo yake mpya itakayotumika ndani ya timu hiyo. Fountain Gate imeanzia Daraja la Pili msimu uliopita...

OZIL WA ARSENAL KUUZWA UARABUNI

0
MESUT Ozil, nyota wa Klabu ya Arsenal inaelezwa kuwa amepewa dili la miaka miwili kusaini ndani ya Klabu ya Al-Nassri ya barani Asia ikiwa...

AZAM FC KAZINI LEO DHIDI YA FOUNTAIN GATE

0
VINARA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Azam FC, leo Oktoba 12 itakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya  Fountain Gate SC...

SIMBA KUKIPIGA NA NDANDA FC AZAM COMPLEX

0
 KESHO, Oktoba 13 kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck kinatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Ndanda FC.Ndanda inashiriki Ligi Daraja...

DUBE WA AZAM FC APANIA KUWA BORA

0
 BAADA ya kufanikiwa kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Septemba ndani ya Ligi Kuu Bara, straika wa Azam FC, Prince Dube, amebainisha kwamba anataka...

KMC YAIPIGA MKWARA COASTAL UNION YA TANGA

0
 CHRISTINA Mwagala, Ofisa Habari wa KMC amesema kuwa baada ya timu hiyo kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania hasira zao ni...

SAID NDEMLA: BADO UWEZO NINAO, SINA MASHAKA

0
 SAID Ndemla, kiungo wa Simba amesema kuwa hana hofu yoyote ile ndani ya kikosi hicho bado anaamini ana nafasi ya kufanya vizuri kwa kuwa...