MEDDIE KAGERE NI NOMA KWA KUCHEKA NA NYAVU
MSHAMBULIAJI wa Simba raia wa Rwanda, Meddie Kagere, ameweka rekodi ya kucheza michezo mitatu ya Ligi Kuu Bara huku akipachika mabao manne msimu huu...
AZAM FC YAANZA KUIVUTIA KASI MWADUI FC
VINARA wa Ligi Kuu Bara, Azam FC tayari mapumziko yao ya siku mbili waliyopewa wamemaliza na wameshaanza maandalizi kwa ajili ya mechi zao za...
MRITHI WA MIKOBA YA ZLATKO APEWA MAJUKUMU MAWILI NDANI YA YANGA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa haujamleta Kocha Mrundi, Cedric Kaze kwa ajili ya kuifunga Simba pekee, bali ni kuipa mataji mawili wanayoyashindania msimu huu...
AZAM FC WAFAFANUA SABABU YA CHIRWA KUACHWA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa suala la nyota wao Obrey Chirwa kuachwa na timu ya Taifa ya Zambia, amesababisha yeye mwenyewe.Kocha Mkuu wa...
YANGA KIGELEGELE AWAOMBA MASHABIKI KUACHA MIHEMUKO
SHABIKI maarufu wa Yanga, Anuary Wambura ‘Yanga Kigelegele’, amewataka mashabiki wa Simba na Yanga kupunguza mihemko wanapokuwa viwanjani ili kuepuka vurugu zisizo za lazima. Katika...
ISHU YA DABI KUPELEKWA MBELE YANGA WACHEKELEA
KUFUATIA Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kuupeleka mbele mchezo wa dabi ya Kariakoo unaozikutanisha Simba na Yanga, viongozi wa klabu hizo wameibuka na...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
DAKIKA 180 KMC MAMBO NI MAGUMU
KIKOSI cha KMC ‘Wana Kino Boys’ kimezidi kuwa na majanga ndani ya dakika 180 baada ya kushindwa kufunga bao kwenye mechi zake mbili mfululizo...
TUIPE SAPOTI TIMU YETU YA TAIFA TUWEKE KANDO TOFAUTI ZETU
TAYARI kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kimeingia kambini Oktoba 5 ikiwa ni maandalizi ya mechi ya kirafiki iliyo kwenye kalenda...