AZAM FC WAJA NA MBINU ZA KIBINGWA

0
 KOCHA Mkuu wa Klabu ya Azam FC, Aristica Cioaba, amezikalia kooni Klabu za Simba na Yanga katika vita ya kusaka ubingwa wa Ligi Kuu...

YANGA YAANZA KUIVUTIA KASI SIMBA MDOGOMDOGO

0
 KIKOSI cha Yanga leo Oktoba 6 kimerejea kambini rasmi kwa ajili ya kujiandaa na mechi zake zinazofuata za Ligi Kuu Bara. Baada ya Oktoba 3...

YANGA HESABU ZAO NI KWENYE MAANDALIZI

0
 UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa hesabu kubwa ni kufanya maandalizi ya kikosi hicho kwa ajili ya mechi zake zijazo ndani ya Ligi...

GLOBAL PUBLISHER WAPEWA TUZO NA VODACOM

0
PICHANI Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers wakiwa na tuzo na cheti cha heshima cha kutambua mchango wa ushirikiano baina Global Publisher...

KUMEKUCHA BONGO,BAADA YA YANGA KUTIMUA KOCHA MWINGINE APIGWA CHINI

0
 UONGOZI wa Klabu ya Ihefu yenye maskani yake Mbeya, leo Oktoba 6 imetangaza kusitiksha mkataba wa aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo Maka Mwalwisi.Taarifa...

KINACHOMPASUA KICHWA SVEN NDANI YA SIMBA NI HIKI

0
 KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amekiri kuwa ni kweli amekuwa akitofautiana mara kadhaa na baadhi ya nyota wengi wa kikosi hicho kutokana na...

YANGA WATAJA SABABU ZITAKAZOMPA NAFASI KAZE KUIBUKIA JANGWANI

0
 WAKIWA kwenye mchakato wa kumsaka Kocha Mkuu atakayerithi mikoba ya Zlatko Krmpotic ambaye amefungashiwa virago vyake Oktoba 3 akiwa amebakiza siku 14 kabla ya...

TFF YASAINI MKATABA WA MIAKA MITATU NA SERENGETI PREMIUM LAGER

0
 LEO Oktoba 6 Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) chini ya Rais Wallace Karia, limeingia makubaliano na Bia ya Serengeti Premium Lager na kusaini mkataba wa...

HIKI HAPA KIKOSI BORA KWA MWEZI SEPTEMBA NDANI YA VPL

0
MZUNGUKO  wa tano kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara ambao umeanza Oktoba 2 umekamilika Oktoba tano na timu zote zimecheza jumla ya mechi...

AZAM FC YATAKA KUSEPA NA KOMBE MOJA KATI YA MAWILI

0
ZAKARIA Thabit, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa malengo makubwa yaliyopo kwenye timu hiyo ni kuweza kubeba moja ya taji katika mashindano makubwa...