KOCHA YANGA:HARUNA NIYONZIMA HANA NIDHAMU

0
 MUDA mfupi kabla ya kusitishiwa mkataba wake ndani ya Yanga, Oktoba 3, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Zlatko Krmpotic alisema kuwa sababu kubwa iliyomfanya...

NAKIPA WATATU STARS WAMPASUA KICHWA KOCHA, REKODI ZAO BALAA

0
OKTOBA 2, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Etienne Ndayiragije alitangaza  kikosi ambacho kitaingia kambini Oktoba 5 kujiandaa na mchezo...

KOCHA SIMBA: WACHEZAJI WANGU WANACHEZEWA RAFU MBAYA

0
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa wachezaji wake wamekuwa wakichezewa faulo mbaya ndani ya uwanja jambo ambalo linampa hofu.Kwa sasa...

KOCHA STARS ATAJA SABABU YA KUTOWAITA MABEKI WA YANGA

0
 KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Etienne Ndayiragije ameeleza sababu za kuacha kuwaita mabeki wa pembeni wa Klabu ya Yanga...

KAZE KUPEWA MIKOBA YA KOCHA WA YANGA

0
 IMEELEZWA kuwa Cedric Kaze ndiye Kocha Mkuu wa Yanga ambaye atarithi mikoba ya Zlatico Krmpotic ambaye alifutwa kazi rasmi Oktoba 3.Kwa sasa timu ya...

POCHETTINO ATAJWA KUIBUKIA MANCHESTER UNITED

0
BAADA ya Klabu ya Manchester United kupokekea kichapo cha mabao 6-1 mbele ya Tottenham kwenye mchezo wa Ligi Kuu England inaelezwa kuwa Mauricio Pochettino...

ARSENAL YAKAMILISHA DILI LA THOMAS PARTEY

0
 ARSENAL inayonolewa na Kocha Mkuu, Mikel Arteta imekamilisha dili la nyota wa Atletico Madrid, kiungo Thomas Partey raia wa Ghana.Washika bunduki hao ambao msimu...

MBWANA SAMATTA AWASILI LEO

0
 MBWANA Samatta amewasili leo kwa ajili ya kujiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania inayojiandaa na mchezo wa kirafiki uliopo kwenye kalenda...

MSIMAMO WA LIGI KUU BARA

0
 MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya raundi tano kukamilika msimu wa 2020/21

MABAO 20 YAMEFUNGWA RAUNDI YA TANO CHEKI MAMBO YALIVYOKUWA

0
 LIGI Kuu Tanzania Bara raundi ya tano imekamilika ambapo jumla yamefungwa mabao 20.Mechi ya Azam FC dhidi ya Kagera Sugar,  Uwanja wa Azam Complex...