POLISI TANZANIA YAIBAMIZA KMC BAO 1-0, BUSWITA AJIPA ZAWADI YAKE
PIUS Buswita, kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Polisi Tanzania ambaye leo ameibuka shujaa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru wakati...
KIPCHONGE MAMBO MAGUMU ASHINDWA KUTETEA TAJI LAKE KISA MAUMIVU YA NYONGA
Eliud Kipchoge, bingwa wa mbio za marathon ameshindwa kutetea taji lake la London marathon Jumapili baada ya kuishiwa nguvu katika kilomita 35 za mbio hizo...
WAWA SASA APANIA KUFUNGA MABAO MENGI ZAIDI
BAADA ya kufanikiwa kufunga bao lake la kwanza na kwa mara ya kwanza kwenye Ligi Kuu Bara, beki wa Simba, Pascal Wawa amesema kuwa...
GWAMBINA FC KUSHUSHA MASHINE MPYA ZA KAZI
MKURUGENZI wa Ufundi wa Klabu ya Gwambina, Mkongomani, Mwinyi Zahera amefunguka kuwa yupo kwenye mipango ya kukamilisha usajili wa nyota wa kimataifa hasa kisha...
MBWANA SAMATTA KUWASILI BONGO KESHO
MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Tanzania, Mbwana Samatta anatarajiwa kuwasili nchini kesho kujiunga na kambi ya timu hiyo inayojiandaa na mechi ya kifariki ya...
KIKOSI CHA TIMU YA POLISI TANZANIA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KMC, UWANJA WA UHURU
KIKOSI cha Polisi Tanzania kitakachoanza leo Oktoba 5 kukamilisha mzunguko wa 5 wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC, Uwanja wa Uhuru
WAHUNI WAMLIZA MUANGOLA WA YANGA
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos, amekutana na wahuni wa mtandaoni ambao wamemliza kwa kumuibia akaunti yake ya Instagram.Carlinhos ambaye amejiunga na Yanga msimu...
MAKOCHA HAWA WAINGIA KWENYE ORODHA YA KUIBUKIA YANGA
IKIWA kwa sasa Yanga ipo kwenye mchakato wa kumtafuta Kocha Mkuu atakayebeba mikoba ya Zlatko Krmpotic ambaye walifikia naye makubaliano ya kuachana naye Oktoba...
POLISI TANZANIA YATUMA UJUMBE HUU KWA KMC WANA KINO BOYS
FRANK Lukwaro, Ofisa Habari wa Klabu ya Polisi Tanzania amesema kuwa kikosi chao kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara leo...
SABABU ZA KUPIGWA CHINI KOCHA MKUU WA YANGA NI HIZI HAPA
INJINIA Hers Said Mjumbe wa Kamati ya Usajili ndani ya Klabu ya Yanga na Mkurugenzi wa Uwekezaji ndani ya Kampuni ya GSM amesema kuwa...