BREAKING:YANGA YAMFUTA KAZI KOCHA MSERBIA ZLATKO
UONGOZI wa Klabu ya Yanga leo Oktoba 3,2020 umefikia makubaliano ya kumfuta kazi kocha wao mkuu, Zlatko Krmpotic raia wa Serbia aliyechukua mikoba ya...
YANGA YATEMBEZA DOZI YA 3-0 MBELE YA COASTAL UNION KWA MKAPA
KIKOSI cha Yanga leo Oktoba 3 kimeibuka na ushindi wa mabao 3-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa dhidi ya...
MABAO KIDUCHU NDANI YA VPL, PRINCE KINARA
LIGI Kuu Tanzania Bara kwa sasa ipo mzunguko wa tano ambapo rekodi zinaonyesha kuwe kwa mizunguko minne mfululizo hakuna raundi iliyokusanya jumla ya mabao...
SIMBA YAIWEKA KANDO YANGA
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa sasa hana presha kubwa kuelekea kwenye mechi yake ya ligi dhidi ya Yanga na badala...
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA COASTAL UNION
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Oktoba 3 dhidi ya Coastal Union Uwanja wa Mkapa
GWAMBINA FC YASHINDA MABAO 2-0 MBELE YA IHEFU
KLABU ya Gwambina FC leo imepata ushindi wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya kucheza mechi nne bila kuambulia ushindi kwenye ligi.Ushindi...
AZAM FC 2020/21 WANAJAMBO LAO
MOTO Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2020/21 unazidi kupamba moto huku ile vita ya tano bora ikiwa imeanza kuonekana mwanzoni kabisa.KMC yenye maskani...
HIZI PACHA ZA KAZI, ZITASUMBUA OKTOBA 18 KWENYE DABI
JOTO la mechi ya watani wa jadi kati ya Yanga na Simba taratibu linazidi kupanda kwa sasa ambapo kila timu imeanza kutengeneza silaha zao...
MICHAEL SARPONG WA YANGA AIPIGIA HESABU SIMBA
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong amefunguka kuwa hana presha yoyote licha ya kushindwa kufunga mabao kwa kuwa anajipanga kuwaonyesha wapinzani wao Simba watakapokutana...
YANGA V COASTAL UNION LEO NI MOTO KWA MKAPA
JUMA Mwambusi, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...