SIMBA SC vs KMC | Live stream on HD

0
Tazama mechi ya kirafiki kati ya Simba SC na KMC kupitia live stream link hapo chini.Link 1 |  Link 2 | Link 3 |...

MWADUI FC YAPANIA KUBAKI KWENYE LIGI MSIMU UJAO

0
UONGOZI wa Mwadui FC umesema kuwa unajipanga kupata matokeo chanya kwenye mechi zake zilizobaki ndani ya Ligi Kuu Bara ili kubaki ndani ya ligi...

YANGA WATAJA SABABU YA KUCHAPWA MABAO 3-0 NA KMC

0
CHARLES Mkwassa, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa kichapo cha mabao 3-0 mbele ya KMC jana umetokana na makosa yao wenyewe waliyoyafanya ndani ya uwanja.Mchezo...

KMC KUTESTI MITAMBO YAKE MBELE YA SIMBA LEO

0
BAADA ya jana KMC kushinda mabao 3-0 mbele ya Yanga kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Uhuru, leo Juni 8 wanatarajia kukutana na...

MALENGO YA BIASHARA UNITED NI TANO BORA, YAWAOMBA WADAU KUIPA SAPOTI

0
SELEMAN Mataso, Mwenyekiti wa Klabu ya Biashara United amesema kuwa mipango mikubwa iliyo ndani ya klabu hiyo ni kupambana kumaliza ligi ikiwa ndani ya...

SIMBA YATESTI MITAMBO MBELE YA TRANSIT CAMP NA KUIBAMIZA MABAO 4-2

0
KIKOSI cha Simba leo kimeibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Transit Camp kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Mo Simba Arena...

UWANJA MPYA WA KISASA SHINYANGA NI BONGE MOJA YA MPANGO

0
 MENEJA wa Uwanja wa Fresho Complex, Ombeni Kwekaambaye ndiye amebuni ramani ya uwanja huo amesema umekamilika kwa asilimia 25 na unatarajiwa kukamilika kwa asilimia...

BOSI AJAX ATHIBITISHA KWAMBA MANCHESTER UNITED WAMEONYESHA NIA KUMTAKA DONNY

0
BOSI wa Klabu ya Ajax, Edwin van der Sar amethibitisha kwamba Manchester United imeonyesha nia ya kupata saini ya nyota wao Donny van de...

STERLING: UBAGUZI WA RANGI NI UGONJWA UNAOITESA DUNIA

0
RAHEEM Sterling, nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Manchester City amesema kuwa ugonjwa pekee ambao kwa sasa dunia inapambana nao ni ubaguzi wa rangi...