MKWASA ASHIKILIA MIKOBA YA MBELGIJI WA YANGA
YANGA imeanza mazoezi yake ikiwa chini ya Kocha Msaidizi, Charles Mkwasa katika Uwanja wa Chuo cha Sheria Dar es Salaam.Ofisa Uhamasishaji na Msemaji wa...
YANGA: TUNACHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa bado unaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona ili kujiweka salama kabla ya kuanza kucheza mechi za ushindani.Masuala...
YANGA YAJIPA NAFASI YA KUSHIRIKI MICHUANO YA KIMATAIFA
ANTONIO Nugaz, Ofisa Muhamasishaji na Msemaji wa Yanga amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa wa msimu ujao wakashiriki michuano ya kimataifa kutokana na mipango waliyojiwekea. Nugaz...
POLISI TANZANIA WAKIWA KAZINI BADO WANATAMBUA UWEPO WA CORONA
TIMU ya Polisi Tanzania iliyo chini ya Kocha Mkuu, Malale Hamsini inaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.Polisi Tanzania tayari imeanza mazoezi yake...
NGWAIR ALAMA INAYOISHI BONGO
ALBERT Magheha, 'Ngwair' staa wa muziki wa Bongo Fleva alitangulia mbele za haki tarehe kama ya leo Mei 28 akiwa na miaka 30 nchini...
TIMO WERNER AINGIA ANGA ZA LIVERPOOL
TIMO Werner, staa wa Klabu ya RB Leipzig raia wa Ujerumani amewekwa kwenye rada za vinara wa Ligi Kuu England Liverpool.Werner mwenye miaka 24...
YANGA HAKUNA KUREMBA, NDANI YA GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi lipo mtaani jipatie nakala yako jero tu
MAJEMBE HAYA 22 YA KAZI SIMBA YAMERIPOTI KAMBINI, WENGINE LEO TENA
MAJEMBE ya kazi mengine ndani ya kikosi cha Simba yanatarajiwa kuripoti kambini leo baada ya wengine kuanza kuripoti jana.Patrick Rweyemamu, Meneja wa Simba amesema...
MBADALA WA MROMANIA WA AZAM FC AANZA KAZI CHAMAZI
BAHATI Vivier, Kocha Msaidizi wa Azam FC, amewasili nchini kwa ajili ya kuanza kazi ya kukinoa kikosi hicho kilicho nafasi ya pili kwenye msimamo...
MWILI WA MWALUSAKA,MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA NA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA WAAGWA...
MWILI wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa zamani wa Klabu ya Yanga, mchezaji wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, marehemu Lawrence...