KOCHA YANGA ATAJA SABABU YA KICHAPO CHA MABAO 2-0 MBELE YA POLISI TANZANIA
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa sababu kubwa ya kupoteza mchezo wake mbele ya Polisi Tanzania ni kukosa umakini kwa wachezaji wake...
NAMUNGO WATAJA KILICHOWAPONZA KUPOKEA KICHAPO CHA MABAO 8-1 MBLE YA AZAM FC
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa kilichoiponza timu yake kupokea kichapo kibaya cha mabao 8-1 ni kukosa uzoefu pamoja na muunganiko...
BABA: HAKUNA STRAIKA WA KUMPITA YONDANI
BABA mzazi wa beki wa Yanga, Kelvin Yondani, mzee Patrick Yondani amefunguka kuwa kuelekea msimu mpya hana hofu na kiwango cha kijana wake huyo...
SIBOMANA ATOA KAULI YA KUTISHA YANGA
Winga wa Yanga, Mnyarwanda, Patrick Sibomana ambaye anaongoza kwa kufunga mabao kwa wachezaji wote wa Yanga msimu huu hadi sasa, ametoa kauli ya kibabe...
TOTO AKUBALI YAISHE YANGA
KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum Toto amefunguka kuwa kuongezeka kwa wachezaji katika idara ya kiungo kutamfanya azidishe juhudi ili kuilinda nafasi yake ndani ya...
USIKOSE KESHO GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI UJUE KUHUSU KAMBI YA YANGA PAMOJA NA MCHEZO...
KESHO ndani ya CHAMPIONI Jumamosi kuna kila kitu kuhusu Simba v Azam, kambi ya Yanga huko chanzo cha kichapo ndani
NYOTA WAWILI WA AZAM FC KUIKOSA SIMBA KESHO, ISHU YA KANGWA IPO NAMNA HI
KESHO Uwanja wa Taifa hapatoshi, ambapo Simba itamenyana na Azam FC kwenye mchezo wa ngao ya Jamii.Mchezo huo ni maalumu kwa ajili ya ufunguzi...
YANGA YACHOMOLEWA BETRI 2-0 NA POLISI NA TANZANIA MOSHI
Kikosi cha Polisi Tanzania kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Yanga katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Ushirika huko Moshi.Yanga imepoteza...
KAKOLANYA AWAPANIA YANGA
Kwa jinsi Beno Kakolanya alivyoipania Azam, Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Yanga lazima udenda uwatoke. Simba na Azam FC zitacheza kwenye mchezo wa Ngao...
HATUA YA UWANJA WA SIMBA BUNJU ULIPOFIKIA HUKO BUNJU, MAMBO NI BALAA
Hatua ya ujenzi wa uwanja wa mazoezi wa klabu ya Simba ulipofikia huko Bunju, jijini Dar es Salaam.