video
VIDEO: OSCAR OSCAR ACHUKUA FOMU, TAZAMA MSAFARA WAKE ULIVYOKUWA
MCHAMBUZI wa masuala ya michezo ndani ya ardhi ya Bongo ambaye pia ni mtangazaji wa E Media, Oscar Oscar mzee wa kaliua leo Juni 9 amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Uraisi wa Shirikisho la Soka Tanzania , (TFF)
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.