ALLY MAYAY AKANUSHA TAARIFA ZA KUICHANA YANGA ‘SIYO MIMI JAMANI’
Ally Mayay akanusha makala iliyosambaa mitandaoni ikizungumzia madhaifu ya klabu ya Yanga.
WATATU WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA WATAJWA
Shirikisho la Soka Barani Ulaya limetangaza wachezaji matatu wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kiume wa UEFA wa msimu wa 2018/2019.Wachezaji hao ni Lionel...
LIVE: MANARA ALIPUKA “JUMAMOSI TUSITAFUTANE LAWAMA” SIMBA VS AZAM
Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara akizungumza kuelekea mechi ya Ngao ya Jamii baina yao na Azam FC Jumamosi ya wiki hii.
SIMBA YAZIDI KUIPOTEZA MAZIMA YANGA, MO AONGEZA MABILIONI MENGINE KIKOSINI
Mfanyabiashara Bilionea na Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji Mo, ameongeza bajeti ya mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita mara mbili...
WAMBURA AVIFUNGIA VIWANJA VITATU LIGI KUU
Bodi ya Ligi limevifungia viwanja vitatu vinavyotumia katika mechi za Ligi Kuu Bara.Viwanja hivyo ni:- Uwanja wa Mwadui (Shinyanga), Manungu (Morogoro) na Mabatini (Pwani).Viwanja...
AZAM FC KUTESTI MITAMBO KWA NAMUNGO FC LEO
KIKOSI cha Azam FC leo kitacheza mchezo wa kirafiki na Namungo FC uwanja wa Chamazi majira ya saa 1:00 jioni.Mchezo huo wa kirafiki ni...
STERLING KUFIKIA KIWANGO CHA MESSI?
Huku akiwa alifunga magoli 17 msimu uliopita , matatu katika mechi moja msimu huu- Raheem Sterling yuko tayari kwa msimu mwengine bora mwaka huu.Mshambuliaji...
WACHEZAJI LIGI KUU ENGLAND WANAPUMZIKA VYA KUTOSHA?
Nchini Uingereza mwezi Agosti ni wakati wa mapumziko na familia hutumia muda huo kujumuika pamoja baada ya shule kufungwa.Lakini kwa wachezaji wa ligi kuu...
SANCHEZ AWAGEUZIA KIBAO MAN UNITED, TETESI KIBAO ZA SOKA DUNIANI HIZI HAPA LEO
Alexis Sanchez anakataa kuondoka Manchester United msimu huu, pamoja na kwamba kocha Ole Gunnar Solskjaer kutishia kumfanya kuwa mchezaji wa akiba ikiwa atasalia na...
MWILI WAFUKULIWA, WAVULIWA SARE ZA KAZI
SERIKALI magharibi mwa Kenya imefukua mwili wa mkazi mmoja ili kumvua sare alizozikwa nazo kulingana na ripoti.Martin Shikuku Alukoye alizikwa akiwa na sare zake...