SIMBA FULL SHANGWE LEO WABEBA KOMBE LAO LA 20 TPL
MABINGWA watetezi Simba leo wamekabidhiwa kombe la Ligi Kuu Bara na mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola baada ya kumaliza mchezo...
Stand United yashuka rasmi daraja!
Timu ambayo ilikuwa inasubiriwa kushuka daraja kuungana na African Lyon imepatikana rasmi. Stand United ya Shinyanga rasmi wameshuka daraja baada ya kufungwa...
RUVU YAKOMAA KUBAKI TP, MATOKEO NA TIMU ZILIZOSHUKA DARAJA HAYA HAPA
LEO Ligi Kuu Bara Tanzania ilikuwa inafika tamati ambapo mbivu na mbichi zimejulikana kuanzia bongwa na zile zitakazoshuka daraja.Bingwa ni Simba ambaye amemaliza ligi...
NABY KEITA WA LIVERPOOL KUIKOSA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA DHIDI YA SPURS
Naby Keita wa Liverpool ataukosa mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Tottenham kutokana na majeruhi.Keita alipata majeruhi hayo kwenye mchezo wa ...
TPL: YANGA 0-0 AZAM FC
MCHEZO wa sasa unaoendelea uwanja wa Taifa kati ya Yanga na Azam FC ni kipindi cha kwanza na hakuna ambaye ameliona lango la mpinzani...
KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOANZA DHIDI YA YANGA
Kikosi rasmi cha Azam FC kitakachoanza leo dhidi ya YangaKikosi kitakachoanza16 Razak Abalora57 Lusajo Mwaikenda03 Daniel Amoah05 Yakubu Mohammed06 Agrey Moris (c)22 Salmin Hoza27...
Mechi nne kufa na kupona Leo!
Mpaka sasa hivi African Lyon ndiyo timu pekee ambayo hatutokuwa nayo kwenye ligi kuu msimu ujao.Kwa utaratibu uliopo, timu zinazoshika nafasi ya...