FEISAL AIKATAA MIL 50 YA AZAM FC….WAMUWEKEA MAMILIONI MEZANI
Feisal Salum kiungo wa mpira amekutana na mabosi wa Azam FC siku ya Jana Ijumaa, ili kujadili muafaka wake katika viumga vya Azam Complex...
SIMBA YAAMBULIA MEDALI…YANGA YASHINDWA KUTWAA NDOO
Timu ya wanawake ya Simba SC, Simba Queens imefanikiwa kushinda nafasi ya tatu baada kuichakaza bila huruma magoli manne bila majibu timu ya CEASIAA...
YANGA YAPORWA KOMBE UWANJANI…JKT QUEENS WABABE
Timu ya wanawake JKT Queens imeibuka bingwa wa Mashindano ya Ngao ya Jamii baada kuifunga Yanga Princes goli moja bila majibu.
Vuta nikuvute katika mchezo...
SUKA JAMVI LAKO NA MERIDIANBET LEO….
Wikendi ya leo murua sana ukibashiri na Meridianbet huku ukiwa na nafasi ya kuwa Milionea?. Mechi kibao zinachezwa leo huku Meridianbet tayari wameshakuwekea machaguo...
PIGA PENALTY YA KIBINGWA LEO….
Leo ni Ijumaa ya kuondoka na mkwanja na kuweza kuianza wikiendi yako vizuri kabisa, Yote hayo unaweza kuyafanya kwa kuhakikisha unacheza mchezo wa Beach...
KUHUSU MECHI NA COSTAL UNION ….FADLU NA SIMBA YAKE KUJA NA SPRAIZI HII LEO..
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu David amesema mchezo wa kesho (leo) wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union, utakaopigwa katika uwanja wa...
KISA KAGOMA …AHMED ALLY “ATUPA JIWE JEUSI KWENYE SHIMO LA KIZA”….
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally ametupa dongo kwa wapinzani wao kuwa wataendelea kuteseka baada ya kiungo wao, Yusuph...
SI MLISEMA WAZEE…KAZI IMEANZA YANGA
MABINGWA watetezi wa Ligi kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC hii leo imeibuka na ushindi mnono wa bao 4-0, ikiwa ni mara ya...
SIMBA BAADA YA USAJILI WAITAKA ROBO FAINALI
AHMED Ally Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba amesema kuwa, timu hiyo imesajili vizuri zaidi msimu huu hivyo malengo yao ya kutinga hatua ya...
PAUL MKAI ACHAGUA KUANZA NA CHASAMBI MBELE YA MUTALE.
Mtangazaji na mwandishi wa habari za michezo nchini, Paul Mkai amesema kwamba ukiwaweka wachezaji wawili wa Simba Joshua Mutale na Ladack Juma Chasambi, basi...