OFISA Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe, amethibitisha kuwa uongozi wa klabu hiyo uko katika hatua za kuhakikisha wachezaji muhimu waliomaliza mikataba yao wanasalia ndani ya kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano mbalimbali, yakiwemo ya...
BAADA ya kuipa Yanga mataji matatu aliyekuwa kocha wa Yanga, Miloud Hamdi atambulishwa katika klabu ya Ismaily ya Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Hamdi alijiunga na Yanga katikati ya msimu ulippita akitokea Singida Black Stars akichukua mikoba ya Sead...
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kikao kilichofanyika hivi karibuni kati ya Bodi ya Wakurugenzi na Baraza la Washauri wa klabu hiyo, ni sehemu ya mikakati kabambe ya kuiongezea nguvu klabu hiyo kuelekea...
TETESI za usajili zinadai kuwa Feisal Salum ‘Fei Toto’ amemalizana na Yanga SC, lakini kiungo huyo wa Azam FC ameibuka na kufunguka wazi kuhusu hatma yake kuelekea msimu ujao wa mashindano.
Fei Toto amesema kwa sasa bado ni mchezaji halali...
FADLU Davids, Kocha Mkuu wa Simba SC amesema kuwa kwa msimu wa 2024/25 wamejitahidi kupambana na kufikia malengo licha ya kushindwa kutwaa ubingwa watafanya maboresho kwa msimu ujao.
Kuna asilimia chache kwa Fadlu kubaki ndani ya kikosi cha Simba SC...
Promosheni nyingine kali imetua kwa wakali wa Odds za kibabe Meridianbet hivyo kwa wale ambao wanatumia vitochi na USSD huu ni wakati wao wa kujishindi Samsung A25. Weka pesa kwenye akaunti yako uanze kushindana sasa.
Jumatano ya kitajiri inakuita huku!...
Wakazi wa Magomeni na Manzese leo hii wameamka na neema kubwa sana baada ya kutembelewa na Meridianbet ambayo inafahamika kama Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania. Wawakilishi kutoka Meridianbet walipeleka msaada wa mahitaji muhimu ya kila siku kwa wakali hao.
Zoezi...
Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet kama kawaida wameendelea kukuletea promosheni za uhakika ambazo zitakusaidia kuondoka na tabasamu. Safari hii ni promo kali ya simu aina ya Samsung A25 ambapo mteja atapata akibashiri mechi zake azipendazo.
Meridianbet inasema kuwa huu ni...
Mwezi wa Julai umewasili na Meridianbet inakupa nafasi ya kipekee kushinda zawadi kabambe. Kuanzia tarehe 1 hadi 31 Julai 2025, ukiwa mchezaji aliye jisajili kupitia meridianbet, unaweza kuwa mmoja kati ya washindi watano (5) wa Samsung Galaxy A25 mpya...
Meridianbet kwa kushirikiana na Airtel Money wameandaa kampeni ya kipekee kwa wateja wote wanaotumia Airtel Money kuweka fedha kwenye akaunti zao za Meridianbet. Kampeni hii itakupa nafasi ya kushinda zawadi kubwa kama Bajaj mpya, safari ya siku mbili Zanzibar,...