Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet kama kawaida wameendelea kukuletea promosheni za uhakika ambazo zitakusaidia kuondoka na tabasamu. Safari hii ni promo kali ya simu aina ya Samsung A25 ambapo mteja atapata akibashiri mechi zake azipendazo.
Meridianbet inasema kuwa huu ni...
Mwezi wa Julai umewasili na Meridianbet inakupa nafasi ya kipekee kushinda zawadi kabambe. Kuanzia tarehe 1 hadi 31 Julai 2025, ukiwa mchezaji aliye jisajili kupitia meridianbet, unaweza kuwa mmoja kati ya washindi watano (5) wa Samsung Galaxy A25 mpya...
Meridianbet kwa kushirikiana na Airtel Money wameandaa kampeni ya kipekee kwa wateja wote wanaotumia Airtel Money kuweka fedha kwenye akaunti zao za Meridianbet. Kampeni hii itakupa nafasi ya kushinda zawadi kubwa kama Bajaj mpya, safari ya siku mbili Zanzibar,...
Je unajua kuna mzigo mkubwa 1.5 wa mgao ambao unakusubiri wewe tuu uweke dau lako na uingie kwenye mashindano ya LUKCY RUSH. Cheza michezo inayoshiriki kwenye promosheni hii uwe kwenye washindi watakaotangzwa mwisho wa kampeni hii.
Lucky Rush inawapa washiriki...
Watu makini wanaelewa thamani ya kila shilingi. Na sasa, Meridianbet inakuletea njia ya kuongeza kila unachoweka. Kwa kutumia Halopesa Push kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet, utapokea bonus ya 20% kila siku, inayoweza fika hadi TZS 50,000 kwa...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Klabu ya Yanga shilingi milioni 100, kwa kutambua ushindi na mafanikio makubwa waliopata katika msimu wa mwaka 2024/2025.
Rais Dk Mwinyi ameyasema hayo leo Juni 30,...
KIKOSI cha Yanga usiku wa jana kilikuwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, visiwani Zanzibar kumalizana na Singida Black Stars katika mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho, ikiwa ni siku chache tu tangu itoke kubeba taji la Ligi...
DUKE Abuya na Clement Mzize, wamekata kiu ya mashabiki wa Yanga baada ya kufanikisha kutwaa Kombe la Shirikisho (FA) katika mchezo wa fainali uliofanyikwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Nyota hao wawili ndio waliotikisa nyavu za Singida Black Stars...
WAKATI mashabiki na wapenzi wa Simba wakiendelea kujiuliza kilichowakuta katika pambano la Dabi ya Kariakoo kwa kulazwa mabao 2-0 na Yanga, kuna taarifa ya kushtua ambayo huenda wasingependa kuisikia kuhusu kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Ellie Mpanzu.
Mpanzu ambaye ameibuka...
Wachezaji wa mchezo maarufu wa Super Heli sasa wana nafasi ya kipekee ya kujishindia simu mpya ya kisasa aina ya Samsung A25, ikiwa ni promosheni ya kipekee iliyoanzishwa na Meridianbet, kampuni inayoongoza kwa michezo ya kubashiri na kasino mtandaoni...