KLABU Bora Afrika kwa sasa,viwango vinatokana na matokeo ya timu katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika kuanzia 2017 hadi 2021.Kwa maana hiyo kuna uwezekano mkubwa pointi zinaweza kupanda ama kushuka msimu huu mazima...
MASHINE ya kazi ndani ya Yanga, Saido Ntibanzokiza amesema kuwa atafanya mambo makubwa kikosini hapo ili kutimiza malengo ya timu pamoja na majukumu yake.Ntibanzokiza alikuwa miongoni mwa wachezaji waliokuwa kwenye kikosi cha kwanza ambacho kilitwaa taji la Mapinduzi, Januari...
BAADA ya kupoteza mchezo wake wa kwanza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Zambia wachezaji wamekubaliana kucheza mchezo wa leo kama fainali dhidi ya Namibia.Leo Januari 23 Taifa Stars itakuwa na kazi ya kusaka ushindi dhidi ya Namibia na...
BONIFACE Pawasa, beki mkongwe aliyecheza ndani ya Klabu ya Simba amesema kuwa bado kiungo Thadeo Lwanga anahitaji muda ili kuweza kuwa bora kwa kuwa ameonekana hayupo fiti.Lwanga raia wa Uganda amesaini dili la miaka miwili ndani ya Klabu ya...
“UNAPOKUWA mchezaji malengo yako makubwa ni kucheza na kuonyesha uwezo wako, kama unakosa nafasi sehemu moja basi sio vibaya kwa kushirikiana na viongozi wako ukatafuta eneo jingine ambalo unaweza kucheza,” anaanza kueleza Straika matata wa kikosi cha klabu ya...
ZAKARI Thabit, Ofisa Habari wa Klabu ya Azam FC amesema kuwa wachezaji wa timu hiyo wamepewa mapumziko ya siku mbili kabla ya kurejea kambini kuendelea na maandalizi ya mechi za Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho.Mabingwa hao mara...
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa kalenda mpya za Yanga zinapatikana makao makuu ya Klabu ya Yanga pamoja na maduka yote ya GSM ambao ni wadhamini pia wa timu hiyo hivyo mwanachama anatakiwa kutamba na kalenda hiyo .Yanga...
UONGOZI wa Simba umeshikwa na kigugumizi cha kuweka ukweli juu ya hatma ya kiungo mshambuliaji, Francis Kahata ndani ya kikosi hicho kilicho chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Seleman Matola. Kahata maisha yake ndani ya Simba msimu wa 2020/21 yamekuwa yake...
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi
BAADA ya Juma Mwambusi ambaye alikuwa kocha msaidizi ndani ya Klabu ya Yanga kuomba kujiweka kando kutokana na matatizo ya kiafya majina matano yanatajwa kuwa mikononi mwa mabosi wa timu hiyo.Kwa sasa Yanga ipo chini ya Kocha Mkuu, Cedric...