MOHAMED Hussein, mmachinga, Kocha Msaidizi wa Klabu ya Yanga Princess amesema kuwa anaamini kwamba wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba hawakupaswa kumsajili winga, Perfect Chikwende raia wa Zimbabwe kwa kuwa wanawachezaji wengi kwenye idara hiyo.Simba ambayo...
 PRESHA imezidi kuwa kubwa kwa Kocha Mkuu wa Chelsea, Frank Lampard ya kufutwa kazi kutokana na mwendo mbovu wa timu yake ndani ya Ligi Kuu England. Kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Leicester City,  Uwanja wa King Power kinawashusha kwa...
IMEELEZWA kuwa nyota wa Klabu ya Simba Jonas Mkude hukumu yake ipo palepale na kwa sasa anasubiri kupewa adhabu yake kutokana na makosa yake ya utovu wa nidhamu.Kiungo huyo chaguo namba moja la makocha wote ambao wanapita ndani ya...
 KOCHA Mkuu wa Azam FC, George Lwandamima amesema kuwa atawatumia nyota wake wapya leo kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Zanzibar Combine huku akikosa huduma ya ingizo jipya Yahya Zayd.Zayd ambaye ni kiungo mshambuliaji yupo ndani ya Azam FC...
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Klabu ya Yanga, Amiss Tambwe amesema kuwa usajili wa nyota mpya, Fiston Abdurazak utaiongezea makali safu ya ushambuliaji ambayo ilikuwa na tatizo la umaliziaji wa nafasi za kufunga.Kwenye usajili wa dirisha dogo Yanga inayonolewa na...
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano 
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa bado haujaachana na mchezaji wao Michael Sarpong ambaye kwa sasa ameelekea nchini China kwa ajili ya majaribio.Sarpong aliibuka ndani ya Yanga akitokea nchini Rwanda ambapo alikuwa anacheza Klabu ya Rayon Sports ila yeye ni...
 KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars  leo zitachezwa mchezo wa Kwanza dhidi ya Zambia leo Januari 19, mchezo wa Chan, nchini  Cameroon.Kocha Mkuu, Ettiene Ndayiragije atakosa huduma ya mshambuliaji John Bocco ambaye ni majeruhi.Bocco ambaye anakipiga...
Karibu kutazama mechi ya kwanza ya kundi D, Kati ya Zambia va Tanzania, Chagua linki hapo chini kutazama LIVE kutoka Cameroon Link 1 Link 2Link 3Link 4
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoanza kwenye mchezo wa leo dhidi ya Zambia utakaopigwa kwenye uwanja wa Limbe Omnisport, Limbe Cameroon majira ya saa 1:00 kwa saa za Afrika Mashariki.Kila la kheri Taifa Stars