Home Taifa Stars BOCCO KUWAKOSA WAZAMBIA LEO CAMEROON

BOCCO KUWAKOSA WAZAMBIA LEO CAMEROON

 KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars  leo zitachezwa mchezo wa Kwanza dhidi ya Zambia leo Januari 19, mchezo wa Chan, nchini  Cameroon.

Kocha Mkuu, Ettiene Ndayiragije atakosa huduma ya mshambuliaji John Bocco ambaye ni majeruhi.

Bocco ambaye anakipiga ndani ya Simba alipata majeraha Kwenye mchezo wa kimataifa dhidi ya FC Platinum. 

Mchezo huo ulichezwa Januari 6, Simba ilishinda mabao 4-0 na Bocco alitupia bao moja.

Hivi ndivyo kikosi kitavyokuwa:-


SOMA NA HII  WAKATI WATZ 'WAKISHANGAA' KIKOSI CHA AFCON....HUYU MIANO NI HABARI NYINGINE AISEE...