UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa sasa mchakato wa kumpata mrithi wa Sven Vandenbroeck unaendelea hivyo ni suala la mashabiki kuwa na subira.Vandenbroeck alisepa ndani ya kikosi cha Simba baada ya kukiongoza kikosi hicho kutinga hatua ya makundi ya...
MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa wachezaji wake wana kazi ya kulinda viwango vyao ili kuendelea kupata ushindi kwenye mechi zao zote zijazo pamoja na kuongeza hali ya kujiamini.Arsenal ikiwa Uwanja wa Emirates iliweza kuibuka na ushindi...
NYOTA wa Klabu ya Namungo, Stephen Sey raia wa Ghana amesema kuwa malengo yake ni kuwa mfungaji bora ndani ya Kombe la Shirikisho ambalo timu hiyo inashiriki.Sey ambaye yupo chini ya Kocha Mkuu, Hemed Morroco ametupia jumla ya mabao...
JUVENTUS inajipanga kumsajili kiungo wa Manchester United, Paul Pogba mwenye miaka 27 katika usajili ujao wa majira ya joto.Mabosi wake wa zamani Juventus wanaamini kwamba United itapunguza dau la Mfaransa huyo ambaye mkataba wake unamalizika Juni 2022.Akiwa chini ya...
NYOTA wa kikosi cha Azam FC, Prince Dube raia wa Zimbabwe amesema kuwa anaamini atarejea kwenye ubora wake baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu.Novemba 25, Dube aliumia mkono kwenye harakàti za kusaka ushindi mbele ya Yanga,...
WAKATI ishu ya mkataba wake ukiibua gumzo kuhusu uhalali wake wa kusaini miaka miwili ama miezi sita, Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa kazi mpya ya mshambuliaji wake Fiston Abdoul Razak ambaye ni mshambuliaji ni kufunga mabao...
BAADA ya mabosi wa Simba kukamilisha usajili wa nyota wa Klabu ya FC Platinum, Perfect Chikwende sasa inatajwa kuwa nyota wengine watano wapo kwenye rada za kutua ndani ya kikosi hicho.Nyota anayetajwa kumalizana na Simba ambayo kwa sasa ipo...
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumanne
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma Gazeti la SPOTI XTRA JUMANNE
Wakati mashabiki wengi wa Simba wakionekana kutaka kumwona winga wao Bernard Morrison akicheza kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi kocha Seleman Matola amesema hakuwa kwenye mipango yake.Matola alisema sababu kubwa za kutomtumia mchezaji huyo ni kutofanya mazoezi ya pamoja...