KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ,Etienne Ndayiragije amesema kuwa maandalizi ya kikosi hicho nchini Cameroon yapo sawa na wana amini wataanza vizuri kesho.Stars ikiwa imeweka kambi nchini Cameroon kwa ajili ya mashindano ya Chan...
 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa bado una matumaini na kipa wao namba moja David Kissu licha ya kupitia kipindi kigumu ndani ya timu hiyo kwa sasa.Awali ilikuwa inaelezwa kuwa Kissu angesepa ndani ya kikosi hicho kwa mkopo huku...
 BEKI mzawa mwenye uwezo wa kupiga mipira iliyokufa pamoja na kufunga akiwa nje ya 18 amemalizana na mabosi wa Ruvu Shooting kwa dili la miezi sita akitokea Klabu ya Namungo.Beki huyo aliwekwa kwenye rada za Yanga kabla ya kuambulia...
 NYOTA wa zamani wa Klabu ya Tottenham Hotspur,  inayonolewa na Kocha Mkuu, Jose Mourinho amegomea dili la kurejea ndani ya timu hiyo msimu ujao.Christian Eriksen alikuwa ndani ya Spurs na aliuzwa ndani ya Klabu ya Inter Milan na huko...
 SELEMAN Matola, Kaimu Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba amesema kuwa kilichowafanya wapoteze kwenye mchezo wao wa fainali dhidi ya watani zao wa jadi Yanga ni matokeo ya mpira ndani ya uwanja.Simba kwenye Kombe la Mapinduzi ilitinga hatua ya...
YANGA wametamba kwamba kwa usajili waliofunga nao dirisha dogo hakuna wa kuwazuia kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara na Kombe la FA.Hersi Said ambaye ni mmoja wa vigogo wa kamati ya usajili wa Yanga, amesisitiza kwamba usajili wa straika...
 BONIFACE Pawasa, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ya Beach Soccer amesema kuwa kwa sasa wana mpango wa kuandaa bonanza maalumu ambalo linatarajiwa kufanyika Januari 31.Pawasa ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya michezo akiwa anachambua kwenye...
WAKATI kuna baadhi ya mashabiki wa soka wakimbeza, Meddie Kagere na kumuona eti mzee kwa Deogratius Judika Mafie kwake ni tofauti.Nyota huyo anayekipiga Biashara United, anasema Kagere ni ‘mtu na nusu’ kwa aina ya uchezaji wake na jinsi anavyomkosha...
 KOCHA Mkuu wa Manchester City,  Pep Guardiola amesema kuwa uwezo wa nyota wake John Stones unazidi kuimarika kila leo jambo linalomfanya ajivunie uwepo wake.Usiku wa kuamkia leo, City ilishinda mabao 4-0 dhidi ya Crystal Palace, Chelsea wa Ligi Kuu...
ANAITWA Junior Lukosa raia wa Nigeria anatajwa kuingia kwenye rada za Simba kwa ajili ya michuano ya kimataifa kwa kuwa Simba inashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa hatua ya makundi.Licha ya dirisha la usajili wa Bongo kufungwa Januari 16...