UONGOZI wa Simba umetambulisha utatu mpya ambao utapeperusha bendera ya Tanzania kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Imekuwa ikielezwa kuwa Klabu ya Simba inayonolewa na Kaimu Kocha, Seleman Matola ipo kwenye mpango wa kumsajili nyota wa Klabu ya FC Platinum,...
SALUM Abubakar, kiungo wa Klabu ya Azam FC amesema kuwa bado wana imani ya kuweza kufikia malengo ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara uliopo mikononi mwa Simba.Kwenye msimamo msimu wa 2020/21 Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George...
UONGOZI wa Simba umesema kuwa jina la aliyekuwa kocha wa timu hiyo Patrick Aussems limekuwa likitajwa kuwa miongoni mwa warithi wa mikoba ya Sven Vandenbroeck ambaye amebwaga manyanga ndani ya kikosi hicho.Sven ambaye alipokea mikoba ya Aussems, msimu wa...
MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi 2021 Yanga wamerejea leo Bongo wakitokea Zanzibar baada ya kushinda mbele ya watani zao wa jadi Simba kwa ushindi wa penalti 4-3 baada ya dakika 90 kukamilika kwa sare ya bila kufungana. Mapokezi yao...
KIUNGO wa Klabu ya Manchester United, Paul Pogba amesema kuwa hawapo hatua moja na wapinzani wao Liverpool licha ya wao kuwa vinara wa Ligi Kuu England kwa sasa ila watapambana wawafunge watakapokutana uwanjani.Manchester United inatarajiwa kukutana na Liverpool ambao...
 WILLIAN nyota mpya ndani ya kikosi cha Arsenal kilicho chini ya Kocha Mkuu, Mikel Arteta amesema kuwa ni ngumu kupata namba jumlajumla kikosi cha kwanza kwa kuwa bado hajaweza kwenda sawa na falsafa ya timu hiyo.Nyota huyo ambaye aliibuka...
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa hauna taarifa kuhusu nyota wao wa zamani Bernard Morrison kufungiwa kucheza kutokana na kesi yake inayohusu mkataba wake.Morrison baada ya kujiunga na Simba akitokea Klabu ya Yanga, mabosi wa timu hiyo waliweka wazi kuwa...
 UONGOZI Mtibwa Sugar umesema kuwa kwa sasa upo kwenye hesabu za kumtafuta mbadala wa nyota wao Dickson Job ambaye yupo zake ndani ya kikosi cha Mabingwa wa Kombe la Mapinduzi Yanga.Job amesaini dili la miaka miwili ndani ya Yanga...
 SAIDO Ntibanzokiza,  kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa wachezaji wenzake walimuomba awasaidie kuimaliza Simba, Januari 13 licha ya kuwa alikuwa na maumivu jambo ambalo alilifanya kwa kufunga penalti ya ushindi.Ulikuwa ni mchezo wa kwanza kwa Ntibanzokiza ambaye ni ingizo...
IMERIPOTIWA kuwa Klabu ya Tottenham ipo tayari kuingia kwenye ushindanai na Klabu ya Chelsea kwenye kuwania saini ya beki wa kati raia wa Korea Kusini Kim Min-jae.Jose Mourinho, Kocha wa Tottenham anaamini kuwa ikiwa atampata beki huyo atakuwa imara...