MABINGWA mara tano wa Kombe la Mapinduzi Azam FC wanaonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina tayari wameshatia timu ndani ya Uwanja wa Amaan, Zanzibar kwa ajili ya mchezo wa nusu fainali dhidi ya Yanga.Mchezo huo utapigwa Uwanja wa Amaan...
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedrick Kaze kimewasili ndani ya Uwanja wa Amaan kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kabla ya kumenyana na Azam FC kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi.Tayari kikosi...
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umeweka wazi kwamba kuvuliwa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi na Simba kumewaumiza kwa kuwa haikuwa malengo yao kwa msimu wa 2020.Mtibwa Sugar ikiwa chini ya Kocha Mkuu, Zuber Katwila, msimu wa 2019 ilitwaa ubingwa wa...
BEKI chipukizi wa Klabu ya Mtibwa Sugar amesaini rasmi dili la kuitumikia Klabu ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze.Job ambaye amekuwa ni chaguo la kwanza ndani ya Mtibwa Sugar yenye maskani yake Turiani kwa sasa ni mali...
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa utatumia mashindano ya Kombe la Mapinduzi ambalo linaendelea kumpata nyota mmoja ambaye ataingia moja kwa moja kwenye kikosi hicho.Miongoni mwa nyota ambao wanatazamwa kwa ukaribu ni pamoja na nyota wa Klabu ya...
ANAITWA Kelvin Njalubo Moyo ana umri wa miaka 27 raia wa Zimbwabwe amekipiga ndani ya Klabu ya Chippa United ya Afrika Kusini.Kwa sasa ni mchezaji huru baada ya kuvunja mkataba wake wa miaka miwili ambao ulitakiwa kumalizika Julai 2021.Licha ya...
IMERIPOTIWA kwamba Manchester United ipo tayari kuingia kwenye vita na Klabu ya Paris Saint-Germain,(PSG) kuwania saini ya kiungo Romain Faivre.Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 22 kwa sasa anakipiga ndani ya Klabu ya Brest akiwa amecheza mechi 6 na...
BEKI wa Klabu ya Mtibwa Sugar, Dickson Job ambaye kwa sasa yupo kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars inayojiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya DR Congo unaotarajiwa kuchezwa kesho, Uwanja wa Mkapa amesema kuwa...
NYOTA wa kikosi cha Simba Luis Miquissone kwa sasa yupo chini ya uangalizi wa jopo la madaktari akipewa huduma baada ya kupata maaumivu kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FC Platinum.Nyota huyo ameondolewa kwenye kikosi ambacho...
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu