MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumanne 
 MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la SPOTI XTRA Jumanne 
 KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze leo Januari 4 kimetia timu kwenye ardhi ya Visiwa vya Zanzibar. Timu hiyo itaanza kibarua cha kusaka taji hilo la heshima lililo mikononi mwa Mtibwa Sugar ambao walitwaa taji hilo kwa...
 UONGOZI wa Namungo FC umesema kuwa utapambana kwa hali na mali kusaka matokeo kwenye mchezo wa marudio wa Kombe la Shirikisho dhidi ya El Hilal Obeid ya Sudani.Namungo tayari imewasili nchini Sudani leo Januari 4 baada ya kuanza safari...
 BEKI wa timu ya Yanga, mzawa Yassin Mustapha amesema kuwa jina lake kuitwa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ni fahari kubwa na anaamini kwamba atapambana kwa ajili ya taifa bila kuogopa.Mustapha ni miongoni mwa wachezaji 30 ambao...
TUPO Januari 4 leo ndani ya mwaka mpya wa 2021 ambao umeanza kwa kasi yake taratibu tunaendelea kuumega mwaka huu kwa Neema ya Mungu.Ndani ya kurasa ambazo tumezipita kuna mengi ambayo yameandikwa na kuacha kumbukumbu, huku kila kurasa ikiwa...
 UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa malengo yao makubwa kwa msimu wa 2020/21 ni kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara.Kwa sasa bingwa mtetezi ni Simba ambaye alitwaa taji hilo mara tatu mfululizo na kwa sasa yupo nafasi ya ili...
 OFISA Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara, amesema kuwa kiungo mzawa Jonas Mkude hajafukuzwa ndani ya kikosi hicho bali suala lake lipo kwenye kamati ya nidhamu.Desemba 28, taarifa rasmi kutoka Simba ilieleza kuwa kiungo huyo ambaye ni chaguo la...
 NYOTA tisa wa kikosi cha kwanza ndani ya Yanga wanatajiwa kukosa michuano ya Kombe la Mapinduzi ambalo linatarajiwa kuanza kutimua vumbi kesho, Januari 5 .Bingwa mtetezi wa taji hilo la heshima litakalofanyika visiwani Zanzibar ni Mtibwa Sugar ambaye atafungua...
 MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga, Yacouba Songne utakosa mechi zote za Kombe la Mapinduzi kutokana na majeraha ya mbavu aliyonayo.Ndani ya Yanga inayoongoza Ligi Kuu Bara baada ya kucheza mechi 18 ikiwa na na pointi 44...