MUONEKANO wa UKURASA wa nyuma GAZETI la CHAMPIONI Ijumaa
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele GAZETI la CHAMPIONI Ijumaa
NAHODHA wa Yanga, Papy Tshishimbi amesema kuwa sababu iliyowafanya wakapoteza mbele ya KMC ni kubadilishiwa uwanja uliopangwa kuchezwa awali jambo lililowaathiri kisaikolojia.Awali mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Uhuru Machi 12 na Yanga kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 ulipaswa uchezwe...
USHINDI wa mabao 5-0 walioupata Manchester United mbele ya LASK kwenye mchezo wa Europa League unamfanya nyota wao mpya Odion Ighalo afikishe jumla ya mabao manne tangu atue kikosini hapo.Ighalo alijiunga na United kwa mkopo akitokea Klabu ya Shanghai Shenhua...
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anaomba radhi kwa mashabiki na timu ya Singida United kwa kuipa kichapo cha mabao 8-0 jambo ambalo hakutarajia litokee.Simba ilishusha kichapo hicho, Machi 11 Uwanja wa Uhuru baada ya kunyooshwa na...
SADALA Lipangile, mshambuliaji wa KMC amesema kuwa kilichowapa ushindi mbele ya Yanga ni juhudi za wachezaji kujituma ndani ya uwanja bila kuchoka.KMC jana ilishinda bao 1-0 mbele ya Yanga na kuvunja rekodi ya kutoambulia pointi tatu mbele ya Yanga...
MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara baada ya ushindi wa KMC jana Uwanja wa Uhuru, imepanda kwa nafasi mbili kutoka nafasi ya 18 mpaka ya 16
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa kichapo walichokipata mbele ya Atletico Madrid kwa kufungwa mabao 3-2 ni uzembe wao wenyewe wa kuchelewa kufunga bao ndani ya dakika tisini za mwanzo na sio kosa la mlinda mlango wao...
KIKOSI cha Yanga leo kimekubali kichapo cha bao 1-0 mbele ya KMC mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru.Kichapo cha leo ni cha nne kwa Yanga iliyocheza mechi 26 ikiwa na pointi 50 kibindoni inashika nafasi ya...