KIKOSI cha Simba kilicho chini ya Mbelgiji, Sven Vandenbroeck kimecheza jumla ya mechi 27 ndani ya Ligi Kuu Bara.Kimeshinda mechi 22 ambazo ni nyingi kuliko timu nyingine zilizocheza mechi 27.Mbinu ya sare kwake ni ngumu kwani kina sare mbili...
SINGIDA United iliyo chini ya Kocha Mkuu, Ramadhan Nswanzurimo imecheza jumla ya mechi 27 kwenye Ligi Kuu Bara.Imeshinda mechi mbili na kujivunia pointi sita katika mechi hizo ilizocheza ndani ya msimu wa 2019/20.Imepoteza mechi 19 ikiwa ni idadi kubwa...
MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara upo namna hii kwa sasa
MCHEZO wa Ligi Kuu England kati ya Manchester City dhidi ya Arsenal uliopaswa uchezwe leo Jumatano kwenye Uwanja wa Etihad, umeahirishwa kutokana na bosi wa timu ya Olympiacos na Notingham Forest, Evangelos Marinakis kugundulika na virusi vya Corona.Bosi huyo...
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la BETIKA, nakala yake ni bure kabisa lipo mtaani
DANNY Drinkwater ambaye alijiunga kwa mkopo ndani ya Klabu ya Aston Villa kwa sasa anasubiri hatma yake kujua kama ataendelea kubaki ndani ya kikosi hicho ama la.Nyota huyo alijiunga kwa mkopo mwezi Januari akitokea klabu ya Chelsea aliyokuwa akiitumikia...
PAUL Pogba, kiungo wa Manchester United kwa sasa imeelezwa kuwa anafikiria kubaki ndani ya kikosi hicho kwa ajili ya mafanikio yake ya hapo baadaye.Pogba iliripotiwa kuwa ana mpango wa kusepa ndani ya Old Trafford ili akapate changamoto mpya kutokana...
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele Gazeti la CHAMPIONI JUMATANO, nafasi ya kushinda ndinga ni kubwa ukinunua gazeti hili
CLATOUS Chama, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa ameumia kwa timu yake kuchapwa bao 1-0 mbele ya Yanga kwenye mchezo wao uliochezwa Machi 8 Uwanja wa Taifa jambo linalomfanya apoteze furaha kama ilivyo kwa mashabiki wa Simba.Kichapo cha Simba...
YANGA kesho inatarajiwa kushuka Uwanja wa Taifa kumenyana na KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.Yanga itaingia uwanjani ikiwa na kumbukukumbu ya kulazimishwa sare kwenye mchezo wao uliopita mbele ya KMC kwa kufungana bao 1-1 mchezo uliochezwa Uwanja wa...