Azam FC imeandika rekodi ya kutwaa taji la Kombe la Shirikisho 'Azam Sports Federation CUP' kwa mara ya kwanza kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Lipuli FC katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Ilulu mjini Lindi.Bao pekee la Obrey...
Kikosi rasmi cha Azam FC kitakachokipiga dhidi ya Lipuli kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup)16 Razak Abalora14 Nickolas Wadada03 Daniel Amoah05 Yakubu Mohammed06 Agrey Moris (c)22 Salmin Hoza27 Mudathir Yahya08 Salum Abubakar07 Obrey...
NAHODHA wa timu ya Taifa, Mbwana Samatta amesema kuwa mashabiki kesho wajitokeze kwa wingi uwanja wa Taifa kutoa sapoti kwenye mchezo wa hisani dhidi ya timu ya Ali Kiba utakaochezwa majira ya saa 10:00 Jioni.Akizungumza na SalehJembe, Samatta amesema...
Kikosi cha Lipuli dhidi ya Azam FC hiki hapa1. Mohammed Yusuph2. William Lucian3. Paul Ngalema4. Haruna Shamte5. Novarty Lufunga6. Fred Tangalu7. Miraji Athuman8. Jimmy Shoji9. Paul Nonga10. D. Saliboko11. Zawadi MauyaKikosi cha akiba1. Mburulo2. Sonso3. Job4. Chibwabwa5. Issah6. Karihe 7....
INADAIWA kuwa beki wa Lipuli FC, Ally Mtoni ‘Sonso’ tayari amemalizana na uongozi wa Yanga kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara huku mwenye akifunguka kuwa ni kweli wapo kwenye mazungumzo.Sonso ni mchezaji ambaye alikuwa akiwindwa na...
Hance Mabena leo atakuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa fainali ya kombe la Shirikisho FA utakaochezwa uwanja wa Ilulu, Lindi majira ya saa 9:00 alasiri.Mabena atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga, mwamuzi msaidizi namba moja, Frednarnd Chacha kutoka...
KOCHA wa Lipuli, Seleman Matola amesema kuwa wana shauku kubwa ya kukwea pipa ili kuiwakilisha nchi kimataifa hivyo kazi yao leo ni kuwakalisha wapinzani wao Azam FC.Akizungumza na Saleh Jembe, Matola amesema kuwa kazi ya kushinda ni ngumu hasa...
TIMU ya Esperance imetwaa ubingwa wa klabu bingwa Afrika kwenye mchezo wa fainali ya pili dhidi ya Wydad Casablanca baada ya Wydad kugoma kuendelea na mchezo huo dakika ya 62 kwa kutokubaliana na maamuzi ya mwamuzi.Kwenye mchezo huo ambao...