Hii si ya kukosa kwa wewe mdau wa kasino mtandaoni, Meridianbet Tanzania imezindua qualifiers za Festival Malta 2025, tukio la poker ambalo hupimwa na jukwaa la Playtech Poker. Qualifiers zitauwasha moto kutoka Julai 14 hadi Septemba 8, 2025, huku zikiwa zinafanyika kila...
KLABU ya Yanga imesema tayari imempata Kocha Mkuu atakayeifundisha timu hiyo kwa msimu ujao wa mashindano, lakini haitomtangaza hadi hapo itakapomaliza zoezi la usajili ambalo yeye ndio analisimamia.
Ofisa Habari wa Klabu hiyo, Ali Kamwe, alisema kazi iliyokuwepo sasa ni...
Klabu ya Simba imetajwa kuwa mbioni kuinasa saini ya beki wa kushoto wa JKT Tanzania, Karim Mfaume Bakari, ili kumsaidia Mohamed Hussein 'Tshabalala' msimu ujao wa mashindano.
Uhitaji wa beki huyo unaendeleza mpango wa klabu hiyo kutaka kuchukua wachezaji kadhaa...
MOJA ya kazi iliyofanywa na kikao cha Bodi ya Wakurugenzi pamoja na Bodi ya Ushauri chini ya Mwenyekiti, Mohamed Dewji, hivi karibuni ni kupitia ripoti ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids, kuwapa watu majukumu ya kusaka wachezaji watakaojaza maeneo yaliyoainishwa...
KIPYENGA cha usajili tayari kimepulizwa. Kikimaanisha kwamba klabu mbalimbali zimeingia sokoni kusaka nguvu mpya tayari kwa msimu ujao wa michuano mbalimbali.
Yanga, Simba pamoja na Azam na Singida Black Stars ni miongoni mwa timu zilizowekeza nguvu kubwa kwenye usajili zikiangalia...
Msimu huu wa Kombe la Dunia la Klabu ulijaa matukio ya kusisimua, lakini sasa ni muda wa pazia kufungwa kwa kishindo. Chelsea ya England na Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa, watakutana usiku wa leo kwenye fainali ya kutafuta mfalme...
Huku ligi ikiwa imebaki wiki nne pekee ligi mbalimbali Duniani zianze, timu kadhaa zipo likizo na tayari kwa msimu. Lakini zinajiweka sawa kwa kucheza mechi mbalimbali za kirafiki. Na wewe una fursa nzuri tuu ya kusaka mshiko na Meridianbet...
Katika upepo wa kiangazi wa 2025, kuna gumzo moja tu linalotikisa mitaa, ofisi, na vijiwe vya kahawa, ni LOOT Legends kutoka Meridianbet. Sio mchezo wa kawaida huu. Ni safari ya ndoto, ya ujasiri, na ya ushindi mkubwa ambao hauhitaji...
KLABU kongwe nchini, Simba na Yanga, zimetembeza panga kwa upande wa wachezaji wa kimataifa kuelekea msimu mpya, huku zikilenga kuboresha vikosi vyao zaidi kwa ajili ya malengo makubwa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, imefahamika.
Simba na Yanga zipo...
HUKU ikitaja sababu tatu za kumrejesha golikipa, Aishi Manula kundini baada ya kumpoteza kwa kipindi cha miaka minane, uongozi wa Azam FC, umesema ujio wa Aishi Manula katika klabu hiyo ni pendekezo la Kocha Mkuu Florent Ibenge.
Klabu hiyo ilimtangaza...